Naomba kujua bei ya water float switch au bouyer

Mozu1991

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
514
Reaction score
470
Habarin za muda ,poleni na majukumu.

Naomba kufahamishwa bei ya bouyer ( water float switch) linauzwaje

key-01key.jpg
 
Hako kadude kana kazi gani
Wengine sisi washamba
 
Hako kadude kana kazi gani
Wengine sisi washamba
Hako kanaunganishwa kwajuu kule kwene mdomo Tenk ama kisima chamaji.kazi yake nikufunga automatic maji yakijaa hadi pomoni kwahiyo inasev cost ya malipo yabili mana hakuna maji hata tone utakayokuta yamemwagika.pia inaondoa ule usumbufu wakuamka usiku kwenda kuangalia kama tenk limejaa ili ufunge maji ama upo kwene mihangaiko yako lkn unawaza hivi maji yakitoka na tenk likajaa itakuaje..WAZEE WA PLUMBING watakuja kuelezea kitaalamu zaid
 
Shukrani
Nimekupata vizuri chief

Teknolojia inazidi kurahisisha mambo
 
Back
Top Bottom