shukran mkuu, ila niliweka nusu saa kwa wastani ila inaweza zidi hapo hyo hali kutokeano there is a big misunderstanding hapa kucheua means chakula hakijafika tumboni so haiwezi kuwa baada ya nusu saa, hapo ni kutapika, vomiting which is NOT kawaida kwa mwili kuna risk kubwa kama electrolyte imbalace na dehydration sababu tumboni unapoteza acid na maji yanayotolewa na mwili kubreakdown chakula pia unaweza sababisha tears kwenye njia ya chakula ambayo ikiruptur itakuwa unaingia acid na bacteria kwenye viungo kama moyo na mapafu so NO NO NO kama ni tabia Acha na kamuone psychologist akusaide uache
Sent from My BlackBerry Passport
habar naomba unitafute kwa ajili ya ushaurno there is a big misunderstanding hapa kucheua means chakula hakijafika tumboni so haiwezi kuwa baada ya nusu saa, hapo ni kutapika, vomiting which is NOT kawaida kwa mwili kuna risk kubwa kama electrolyte imbalace na dehydration sababu tumboni unapoteza acid na maji yanayotolewa na mwili kubreakdown chakula pia unaweza sababisha tears kwenye njia ya chakula ambayo ikiruptur itakuwa unaingia acid na bacteria kwenye viungo kama moyo na mapafu so NO NO NO kama ni tabia Acha na kamuone psychologist akusaide uache
Sent from My BlackBerry Passport