MSAADA WA BEI YA HIKI KIFAA ( SWITCH YA PUMP YA MAJI)

Mozu1991

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
493
427
Habarini , naomba msaada tafadhali mwenye kujua bei ya hii switch ya pump ya maji .
51P6QWMpkQL._AC_SL1200_.jpg
 
Nimetoka kukiulizia leo dukani, nikaambiwa ni cha ukubwa gani nikashindwa kujibu
 
alimaanisha pump-motor yako ni ya HP ngapi, ilo box lina HP ratings hapo kwenye label

so kama una motor ya 1.5 HP then utahitaji control box ya 1.5 HP
 
Habarini , naomba msaada tafadhali mwenye kujua bei ya hii switch ya pump ya maji . View attachment 2129986
Hapo ndani kuna fuse iliyoandikwa ukubwa wake ambayo ndiyo inayohitaji kubadilishwa.Mfano pump ya 1.5 HP inatumia fuse ya 10A.Fungua hizo nati hapo ndani utaikuta hiyo fuse ya rangi nyeusi.Au piga picha ukishaifungua uitume ili tuelekezane kwa kina.
 
alimaanisha pump-motor yako ni ya HP ngapi, ilo box lina HP ratings hapo kwenye label

so kama una motor ya 1.5 HP then utahitaji control box ya 1.5 HP
Sawa mkuu , ila kwenye maandishi ya hiko kifuniko ziko namba nyingi ila iko hiyo 1.5 ina kiduara cheusi kwa chini yake
 
Hapo ndani kuna fuse iliyoandikwa ukubwa wake ambayo ndiyo inayohitaji kubadilishwa.Mfano pump ya 1.5 HP inatumia fuse ya 10A.Fungua hizo nati hapo ndani utaikuta hiyo fuse ya rangi nyeusi.Au piga picha ukishaifungua uitume ili tuelekezane kwa kina.
Sawa ngoja niifungue
 
Fuse ndan nimeikuta 20A , ila nje kwenye box rating imeandikwa 10A , capacitor yake 50uf , na ni 4'', Hp 1.5
 
Back
Top Bottom