Msaada tafadhali, huwa napata maumivu makali baada ya tendo la ndoa

Mozu1991

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
499
450
Habar za mda huu wanajamv, naomba msaada....., huwa napata maumivu makal baada ya kumaliza tendo la ndoa , mwenye kufahamu hali hii inasababishwa na nn anisaidie
 
Kama mwanaume kuna mawili unaangalia porn kabla ya kugegeda, au utakuwa ndio kwanza mgeni kwenye mambo ya watu wazima. Kama mwanamke huyo jamaa yako ana muwa(zee la Dindindi) unahitaji Rambo.

Ndukiiiii
 
Habar za mda huu wanajamv, naomba msaada....., huwa napata maumivu makal baada ya kumaliza tendo la ndoa , mwenye kufahamu hali hii inasababishwa na nn anisaidie
Jinsia yako ni ipi? Wahi kwa daktari ukapime std's
 
Wabongo bana, badala ya kwenda kwa daktari unakuja jamii forum, ili utukanwe na kukejeliwa.
 
Kuna uwezekano mkubwa ukawa una uambukizo katika via vya uzazi, uambukizi wa bacteria,fungus,U.T.I au una magonjwa ya zinaa...
 
Back
Top Bottom