Mozu1991
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 515
- 470
Habarin wana jamvi , naitwa mwalimu Umari .s .Mangumbe ninafanya kazi Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi (V) .Namtafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje huku nami niende moja Kati ya wilaya zifuatazo. Masasi, Tandahimba , Newala , Nanyumbu (MTWARA ), Nachingwea., Liwale (LINDI). Mawasiliano. :
0714- 451620. ,
0756 - 402565
0783. -475861
0714- 451620. ,
0756 - 402565
0783. -475861