Search results

  1. PRINCE CROWN

    Serikali isipoingilia kati sakata la uagizaji mafuta hali itakua Mbaya sana mbeleni

    Asalaam ndugu zangu Watanzania. Nimeona nililete mbele yenu jambo hili ili tupaze sauti zetu kwa Serikali iweze kuingilia kati jambo hili. Nimesoma kwenye gazeti kwamba makampuni yanayo agiza mafuta yameshindwa kuagiza mafuta kwa sababu za kukosa Dola. Jambo hili limenishitua sana. Nikawaza...
  2. PRINCE CROWN

    Tanesco tangazeni kama mgao wa umeme umerudi

    Ni siku ya pili sasa Arusha kumekua na mgao wa umeme kimya kimya. Huku Tanesko wakiwa kimya bila kutoa taharifa yeyote. Hili shirika linapaswa lifumuliwe lote kabisa Maana kuna uzembe mwingi wa kiutendaji. Ni haibu nchi kuwa gizani kwa kukosa uwajibikaji mzuri kwenye sekta ya Nishati.
  3. PRINCE CROWN

    Waziri Mkuu Mjaliwa Mungu atakuinua sana

    Wewe ni mtu mnyenyekevu sana. Ndani na nje ya uongozi unaheshimu watu wote na unauzalendo wa kweli. Ni maombi yangu kwa mwenyezi Mungu akuinue zaidi uwe bora na mwenye kupendwa na watu wote. Moyo wako Mungu auwekee mapenzi yake kuwatumikia watanzania kwenye nafasi aliyokuruzukia ya Waziri...
  4. PRINCE CROWN

    Tatizo la matokeo mabaya ya Simba SC ni viongozi viburi na ubahili kwenye sajili

    Waswahili walisema Ukipanda mchicha usitegemee kuvuna mahindi. Huu ni usemi Ambao unadhihirika kwenye timu yetu ya Simba. 1. UBAHILI 2. KIBURI 3. KUTOKUSIKILIZA USHAURI Hakuna timu Ambayo imesajili quality players Isipate matokeo Mazuri Uwanjani. Ukisajili vizuri utapata matokeo mazuri...
  5. PRINCE CROWN

    Ni aibu Taifa letu kuwa na Mgao wa Umeme

    Naandika kama mwananchi mzaledo wa taifa hili Tanzania ambaye ni muhanga wa mgao unaoendelea nchini kwetu kwa sasa. Najiuliza hivi TANESCO kuna nini? Hivi shirika ambalo limedumu kwa miongo kadhaa, ambalo limejaa wataalam wanaolipwa mishahara mikubwa wameshindwa kubuni umeme mbadala ambao...
  6. PRINCE CROWN

    Mbunge Luhaga Mpina anazidi kutufumbua macho Watanzania

    Akiomba Bungeni kwamba Mh spika Aunde tume ya uchunguzi. Juu ya Ujenzi wa Bwawa la Nyerere pamoja na Upandaji wa Bei za Mafuta pamoja na mbolea. Kwamba kuna wajanja wanatengeneza michezo kwa kisingizio cha vita ya Urusi. Kusema ukweli Mimi namuunga mkono Mh mpina hali ni mbaya sana mtaani...
  7. PRINCE CROWN

    Serikali iliangalie kwa jicho la 3 suala la Machinga

    Asalaam Ndugu zangu watanzania na wazalendo wa taifa letu pendwa Tanzania. Nimekaa kimya juu ya mambo yanayoendelea juu ya wamachinga na mpango wa SERIKALI yetu ya kuwapangia maeneo maalum ya kufanyia Biashara. Lakini kuna jambo Ambalo nimeliona Ambalo SERIKALI yetu haijaliona. Na jambo hili...
  8. PRINCE CROWN

    Mashujaa 3 ambao historia ya Tanzania haitawasahau kamwe

    Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Pamoja Nanyi. Katika history ya nchi hii Ndugu Rais wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu John Pombe Magufuli, Ndugu Naibu wa Rais Mama Samia S Hassani Pamoja na Ndugu Waziri Mkuu Majaliwa K Majaliwa. Hakika History ya Nchi hii itawataja kwa Ushujaa wenu na kujitoa hata kufa...
  9. PRINCE CROWN

    Tumeshatafakari kabla ya kuwahukumu ya Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA?

    Asalaam ndugu WanaJF wenzangu. Katika tafakari zangu na kujiuliza mambo kadha wa kadha nimeona niwaze kwa sauti na kuishirikisha sauti ya mawazo yangu kwa wanachadema na wali wasio wa CHADEMA. Mimi sio mtu wa kukurupuka kabla ya kuandika au kuzungumza. Ni MTU wa kutafakari kwanza ndio naweze...
  10. PRINCE CROWN

    Uchaguzi 2020 Mwisho wa sarakasi zote ni Oct 28. Kila mtu atavuna alichopanda

    Wana JF wenzangu kilele cha kampeni kina hitimishwa kesho na siku ya kukata maneno ni Juma 5. Kama ulipanda viazi usitarajie kuna Choroko. Hii iwafikie wabunge WOTE na madiwani pamoja na Urais. Wajumbe tupo tayari tumesha vitayarisha vikatio vyetu. Tutachagua Maendeleo na sio porojo na hadithi...
  11. PRINCE CROWN

    Asante Ndugu Rais. Majaribio ya treni yameanza Arusha

    Kama Mwananchi na Mtanzania. Nina Kumshukuru. Ndugu Rais wetu kwa Maajabu unayozidi kutufanyia Watanzania. Treni ya mwisho ilifika Arusha mwaka 2000 baada ya hapo hatukuwai kuona tena treni ikitoa huduma na kuwaraisishia Watanzania gharama za usafiri na usafirishaji wa Bidhaa kutoka Mkoa 1...
  12. PRINCE CROWN

    TCRA tunaomba muyabane Makampuni ya simu yaboreshe Intaneti zao maeneo ya pembezoni mwa Miji

    Husika na kichwa cha habari husika. Imekua ni kero hasa wananchi wanaoishi maeneo ya nje ya miji upatikanani wa INTERNET umekua hauridhishi kutokana na uwezo wa network kuwa chini tofauti na mijini. Makampuni haya ya mitandao yote yamejikita kuboresha network mijini huku yakisahau kwamba kuna...
  13. PRINCE CROWN

    Kinyozi kapewa kichwa ajifunzie kunyoa

    Kwa waliompendekeza amunike kuwa kocha wa taifa stars nadhani alikua usingizini. jamaa ni mzito ata kufanya maamuzi ya kufanya sab. Mwenzake wa kenya yuko very shap. Anajua nini maana ya mpira. Tanzania ni bora timu wapewe hata wakina julio.
  14. PRINCE CROWN

    Kennedy Willison Juma asaini Simba miaka 2

    Beki wa kati kenedy willison juma amesaini kandarasi ya miaka 2 simba. Kwa maelezo zaidi tembelea acaunt za simba news facebook.
  15. PRINCE CROWN

    AZAM TV TUNAOMBA MECHI ZA TIM KUBWA MUWE MNAONYESHA KWENYE AZAM SPORT HD:

    Niombi langu kwa Azam tv kwamba sisi wateja wenu tunaomba mechi za ligi zitakazo husisha Azam fc. Simba fc na Yanga fc ziwe zinaonyeshwa kwenye chanel ya " Azam Sport HD" Kulingana na hadhi ya vilabu husika. Pia itatupa ladha hata sisi wenye tv za kisasa kuona picha ngavu na bora zaidi. Naomba...
  16. PRINCE CROWN

    Hongera Azam Tv wazee wa Burudani kwa Wote.

    Amani Iwe nanyi. tangu mfumo wa digtal uanze nchini mimi nimejaza vingamuzi vya makampuni yote nyumbani kwangu. Yote ni kutafuta prog nzuri zilizo katika makampuni hayo. Nilichogundua katika wingi wa vingamuzi vyote Azam tv "wazee wa burudani kwa wote" wako vizuri sana nani wabunifu...
  17. PRINCE CROWN

    Kwa wote waliokata tamaa maishani

    Amani Iwe nanyi nyote. Napenda kuchukua fursa hii kuongea na kila mtu ambaye maisha kwake yamekua mlima mkubwa. Kwanza napenda ujue sio mapenzi ya Mungu wewe upitia hayo unayo yapitia. Ila kwa kutokujua mapenzi ya Mungu kwako ndiyo kunakopelekea upitie hayo unayo yapitia. Naomba nitaje mambo...
  18. PRINCE CROWN

    Simba ndio timu yenye Mashabiki wengi Tanzania

    Ukweli mchungu. Ila mwenye macho haambiwi tazama. Mikoani. Dar kila maali ni simba brother. kama nimfuatiliaji mzuri wa mechi utagundua simba ndio tim yenye washabiki wengi bara na visiwani. Ukirejea tamasha la simba day. Mechi ya mbambane. Nkana. Js soura. Elliy haly na leo watani. Utagundua...
  19. PRINCE CROWN

    Bakhresa Group fanyeni ukaguzi wa ungawenu wa ngano unachanganywa na wahuni:

    Nianze kwa kujitambulisha kama mdau wa viwanda na kiwanda changu kina tumia kwa wingi unga wenu wa Azam Ngano. hapo mwanzo unga wenu ulikua mzuri sana very soft lakini hivi sasa umekua mbaya ule usoft hakuna ukiuangalia utafikiri umechanganywa na unga wa mahindi au mtama. hautoi bidhaa nzuri...
  20. PRINCE CROWN

    Mh Waziri wa Nishati. Tunaomba ufatilie tatizo la kukatika katika umeme Arusha:

    Asalaa Ndg Waziri wa nishati. Ndugu kalemani. Naomba kutoa malala miko ya wakazi wa Arusha hasa maeneo ya kwangulelo mpaka Tengeru. Kwamba sasa imekua kama michezo ya washa zima umeme. Nitatizo la muda sasa umeme umekua unakatika katika kila saa imekua ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo...
Back
Top Bottom