PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Ni siku ya pili sasa Arusha kumekua na mgao wa umeme kimya kimya. Huku Tanesko wakiwa kimya bila kutoa taharifa yeyote.
Hili shirika linapaswa lifumuliwe lote kabisa Maana kuna uzembe mwingi wa kiutendaji.
Ni haibu nchi kuwa gizani kwa kukosa uwajibikaji mzuri kwenye sekta ya Nishati.