Si kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole.
Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
Sabato Njema!
Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia kuwa sipaswi kuandika tena habari hizo wala sipaswi kuwabembeleza watu hao. Kwani wameamua...
CCM hii sijui viongozi wake wana upeo wa aina gani!
1.Mtu kama Harbinder Seth unamuwalikaje achangie kampeni ukijua record yake ni chafu? Akili gani ilitumika hapa?
2. Unawezaje kukubali kuchangiwa na club ya soka ambayo sio tu ina mashabiki wasio wana CCM, bali unahatarijsha club yenyewe kwa...
Katiba yetu haijaeleza nguvu waliyonayo wananchi katika kuhoji watawala wa nchi hii
Bali imewafanya watawala kuwa mihungu watu wanaostahili kusifiwa na kuabudiwa huruma utakayoiona kwa kiongozi yeyote wa Tanzania si kwasababu ya katiba Bali ni kwa sababu ya malezi kutoka kwa familia yake na...
CAG mstaafu, Prof. Assad aliposema asilimia sitini ya watumishi wa uma hawana uwezo, Serikali ilijitokeza haraka sana kukana hilo.
Mbunge wa Kahama, Jumanne Kishimba aliposema kuwa asilimia tisini ya wasomi wetu wanajua tu kusoma na kuandika, watu wengi walimkejeli.
Lakini kwa hali ya mambo...
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake.
Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
Vitendo vya unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kupigwa na wake zao vimeshamiri kiasi kwamba wanaume wameamua kuweka aibu pembeni na kuililia serikali ifungue dawati la unyanyasaji kwa wanaume, licha ya hivi bado msaada unakuwa mdogo maana wakikimbilia polisi ama ustawi wa jamii wanachekwa.
Si...
Waswahili walisema Ukipanda mchicha usitegemee kuvuna mahindi. Huu ni usemi Ambao unadhihirika kwenye timu yetu ya Simba.
1. UBAHILI
2. KIBURI
3. KUTOKUSIKILIZA USHAURI
Hakuna timu Ambayo imesajili quality players Isipate matokeo Mazuri Uwanjani. Ukisajili vizuri utapata matokeo mazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.