PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Amani Iwe nanyi nyote.
Napenda kuchukua fursa hii kuongea na kila mtu ambaye maisha kwake yamekua mlima mkubwa.
Kwanza napenda ujue sio mapenzi ya Mungu wewe upitia hayo unayo yapitia.
Ila kwa kutokujua mapenzi ya Mungu kwako ndiyo kunakopelekea upitie hayo unayo yapitia.
Naomba nitaje mambo 10 Ambayo ukiyafanya umetoka.
1: IBADA
2: SADAKA
3: IMANI
4: UKIRI WAKO
5: KUTAFUTA MAARIFA
6: MAHUSIANO MAZURI NA WATU
7: UAMINIFU
8: KUWA MTU WA MALENGO
9: WAZA TOFAUTI NA WENGINE
10: TUMIA MUDA VIZURI
katika safari yangu ya maisha nime masta haya mambo 10 nayakabadilisha kabisa maisha yangu kutoka mtu maskini mpaka kuwa mtu Mkuu Sana. Hivyo sioni sababu ya wewe kubaki maskini.
Watu wanafikia hatua yakujiua kwa sababu hawaja jua siri ya mambo haya 10 ambayo wakiya jengea uzingativu watakua matajiri wakubwa.
Naomba kuwasilisha.
Mungu Awabariki.