Kennedy Willison Juma asaini Simba miaka 2

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,182
Beki wa kati kenedy willison juma amesaini kandarasi ya miaka 2 simba. Kwa maelezo zaidi tembelea acaunt za simba news facebook.
 
Hizi akili sijui ni za wapi. Yaani unamwacha Mlinzi wa Kimataifa Juurko Murshid unakwenda kuangukia Kwa Kennedy Wilson. Hivi Simba mko serious kweli na mashindano ya CAF?
Murshid kiwango kimeshuka,hajiamini,halafu angekua kiwango kinarizisha kocha angekua Ana mpanga Mara kwa Mara na huu usajiri Ni ripoti ya kocha
 
Hizi akili sijui ni za wapi. Yaani unamwacha Mlinzi wa Kimataifa Juurko Murshid unakwenda kuangukia Kwa Kennedy Wilson. Hivi Simba mko serious kweli na mashindano ya CAF?
Mapendekezo ya kocha ni kujenga vikosi 2 madhubuti sana.
 
Kwa hiyo Wachezaji wa kikosi cha pili ni wa aina ya Kennedy Wilson? Maana kwenye ulinzi Simba iko vizuri ukiacha kasoro chache hasa namba 2 ya Zana Coulibally. Mbona kuna wachezaji wazuri kama Mlipili. Kennedy Wilson anageuzwa hata na washambuliaji wa Lipuli. Nadhani mwaka huu huyu Kocha wa Simba anataka kutupiwa virago mapema.
 
Mkuu msimu hunaokuja wandani na nje jamaa wamejipanga sana. Vuta subra utaipenda simba.
 
Back
Top Bottom