Search results

  1. M

    Mapenzi yenu ni ya kweli, ama ya mashaka?

    Saa mbili asubuhi, siku kama ya leo. Mkeo amekuomba akae na simu yako kwa masaa kumi tu..hadi saa kumi na mbili jioni. Je utakubali?... utamuachia? Na kama la, ni kwa sababu gani?
  2. M

    Watanzania tunaongea sana kuliko vitendo

    Leo tarehe 5 Novemba nimepata kuliangalia gazeti la Mwananchi na katika kupepesa macho nimeona yafuatayo katika habari picha katika ukurasa wa mbele na kitaifa zilizopewa uzito katika gazeti hilo. Ukurasawa 1: Baadhi ya wanaCCM wakimshangilia mwenyekiti mpya wa JumuiyayaWazazi- Abdalla...
  3. M

    Natamani Kuwekeza Kwenye Movie Industry Hapa Tanzania

    Hakika mambo niliyoyashuhudia leo wakati watanzania tukihitimisha safari ya mtanzania mwenzetu Steven Kanumba, yamenipeleka kwenye fikra nzito za utajirisho. Nilikuwepo viwanjani Leaders na baadaye makaburi ya Kinondoni. Ule umati wa watu uliokuwepo na simulizi za wananchi wale wa kawaida sana...
  4. M

    Son of a bitch (sob)

    Priest: What is your sin child? Girl : I confess father, I called a man a son-of-a-bitch... Priest: Why? Girl : Father he touched me.... Priest: Like this???? (The priest then touches the girl...) Girl : Yes!!! Priest: But that is no reason to call a man a son-of-a-bitch. Girl : Yes...
  5. M

    Namchukia Jakaya Kikwete

    Toka kumalizika kwa zoezi la uchaguzi na kutangazwa matokeo ya Udiwani, Ubunge na Urais, namchukia sana Kikwete. Sipendi na wala sitaki hata kuona picha yake, wala kusikia habari zake mahali popote. Ninakacha kuangalia taarifa za habari kwenye Runinga, sisikilizi habari kwa njia ya Radio; na...
  6. M

    Elections 2010 CCM mlilieni Kikwete na mafisadi wake...wamevuna walichopanda

    Nawapongeza watanzania kwa kufanya uamuzi usiotarajiwa na wengi. Wananchi wameamua kuchagua nuru badala ya giza, wameamua kuchagua haki badala ya dhuluma, wameamua kuchagua vitendo badala ya maneno, wameamua kuchagua uzalendo badala ya ubinafsi. Wana CCM tuliwapa nafasi, mkashindwa kuitumia...
  7. M

    Elections 2010 Nilitamani kupiga Kura leo, lakini...

    Ninasikitika kwa kutokuweza kutumia haki yangu ya kuchagua viongozi wangu leo. Nilijiandikisha kupiga kura, nilihakiki jina langu kwenye tovuti ya NEC, bahati mbaya nimepata safari ya ghafla ya kikazi. Nipo nje ya nchi. Najua kuna watanzania wengi leo ambao hawataweza kupiga kura kwa sababu...
  8. M

    Hivi Tanzania tunaweza mchezo gani?

    Majuzi nilikuwa Angola baada ya CAN, wakaniuliza, hivi Tanzania favourite sport yenu ni nini? Nikashindwa kujibu. Ila kwa kuwa ni mwanaume nikajibu "lakini tunapenda mpira wa miguu" Wakaniuliza tena, mbona hatukuwaona CAN?. Nusu niwaambie, tunacheza sana bao. Sasa mnisaidie ninyi wenzangu, hivi...
  9. M

    Tupate elimu gani, Tanzania iwe bomba

    Nawauliza manguli, wazoefu wa kulumba Nimekiona kivuli, pichaye imenifumba Inanikata kauli, mashairi kuyaimba Tupate elimu gani, Tanzania iwe bomba? Naanza na mlimani, vitivo vyenye kufana Wamesoma wa zamani, elimu wameiona Mbona nchi taabani, umasikini kwa sana Tupate elimu...
  10. M

    Chakula chako mwenyewe, ruhusa ya nini?

    Jamani, kuna suala linanisumbua kidogo. Chakula umenunua mwenyewe, umekileta nyumbani, mpishi ni wako mwenyewe, umepikiwa, chakula kimeiva, kipo mezani. Kuna ulazima kila unapotaka kula, uombe ruhusa kwa mpishi?
  11. M

    Ustaarabu wabongo bado?

    Nimekuwa mkazi wa Dar kwa muda mrefu na nimekuwa nikishuhudia vipindi mbalimbali vya maisha ya wakazi wake kwa namna ya pekee. Tabia za wananchi hawa au wakazi wa Dar hazitabiliki kiasi cha kushindwa kujua mkazi huyu ata'behave' vipi katika matukio mbalimbali. Kwa mfano, utaona mkazi huyo...
Back
Top Bottom