Hivi Tanzania tunaweza mchezo gani?

Mundu

JF-Expert Member
Sep 26, 2008
2,707
638
Majuzi nilikuwa Angola baada ya CAN, wakaniuliza, hivi Tanzania favourite sport yenu ni nini? Nikashindwa kujibu. Ila kwa kuwa ni mwanaume nikajibu "lakini tunapenda mpira wa miguu"
Wakaniuliza tena, mbona hatukuwaona CAN?. Nusu niwaambie, tunacheza sana bao.
Sasa mnisaidie ninyi wenzangu, hivi favourite sport yetu ni nini?
 
...Ngoma za asilia mana kila mkoa zipo na ndio zinaonesha utamaduni wetu..ukichukulia majority ya wabongo wanaishi vijiji naona ndo burudani pekee kwa majority ya wabongo
 
...Ngoma za asilia mana kila mkoa zipo na ndio zinaonesha utamaduni wetu..ukichukulia majority ya wabongo wanaishi vijiji naona ndo burudani pekee kwa majority ya wabongo
mhn, yaweza kuwa kweli. Kwahiyo tujipange tushindanishe ngoma kimataifa sio?
 
watanzania tunaweza mchezo mmoja tu...kama tukipelekwa kwenye olympic kila mchezaji atachukua gold medal......'november golf oscar november oscar'....thats it
 
mhn, yaweza kuwa kweli. Kwahiyo tujipange tushindanishe ngoma kimataifa sio?

Yeah! hakuna tatizo kabisa kama zipo kimataifa naona tutakuwa na nafasi kubwa kufanya vyema..Unajua wenzetu wana michezo yao mingi tu kutokana na hali zao za hewa ambayo sie hatuthubutu kushiriki nasi tunaweza kujivunia kwenye NGOMA ZA ASILI
 
Majuzi nilikuwa Angola baada ya CAN, wakaniuliza, hivi Tanzania favourite sport yenu ni nini? Nikashindwa kujibu. Ila kwa kuwa ni mwanaume nikajibu "lakini tunapenda mpira wa miguu"
Wakaniuliza tena, mbona hatukuwaona CAN?. Nusu niwaambie, tunacheza sana bao.
Sasa mnisaidie ninyi wenzangu, hivi favourite sport yetu ni nini?
majungu na kuabudu mizimu, achilia mbali kutetea imani potofu, usisahau mchezo wa kuombea wafu ambao waliishi kwa kufanya ufirauni
 
ni mabingwa sana kushinda michezo ya bigbrother, na kama itaandaliwa mashindano ya kumsaka shoga mrembo, tutachukua taji la dunia!
 
Kwa wale wenzangu nami naamini kabisa mchezo mkubwa kwetu ni kuendesha baiskeli hasa kwa wale wa kutoka kanda ya ziwa,kama utakumbuka hata Vodacom wanafagilia sana huu mchezo.
 
Kwa wale wenzangu nami naamini kabisa mchezo mkubwa kwetu ni kuendesha baiskeli hasa kwa wale wa kutoka kanda ya ziwa,kama utakumbuka hata Vodacom wanafagilia sana huu mchezo.

Acha kuwa muamba ngoma ..Tanzania nakumbuka zamani tulipeleka washiriki kwenye mashindano ya baiskeli nadhan kwenye all african games ya EGYPT tulichakazwa kweli..wasukuma wao wamezoea Road master au Gazelle afu wanataka kuendesha pekupeku sasa watawezana wapi na watu wanaotumia bike zenye gear.Ukisema Nchi inapenda Mchezo wa baiskeli kwa kuwa wasukuma ndo wapo wengi nchini sioni kama ni kigezo tosha...ngoma zipo kila mkoa zimekosa promotion tu zaidi ya TBC yetu kuwa na vipindi hivyo vya kuonesha utamaduni wetu
 
kutongoza kinadada!

Unaweza kutuhakikishia katika hilo au tuseme kutongozana mana kama ni mchezo basi ni wapande mbili mana unapewa maneno matamu then unamjibu kuwa nimekubali au ntakufikiria etc so ni bora iwe kutongozana!
 
sasa hapo mshindi atakuwa nani?
 
Acha kuwa muamba ngoma ..Tanzania nakumbuka zamani tulipeleka washiriki kwenye mashindano ya baiskeli nadhan kwenye all african games ya EGYPT tulichakazwa kweli..wasukuma wao wamezoea Road master au Gazelle afu wanataka kuendesha pekupeku sasa watawezana wapi na watu wanaotumia bike zenye gear.Ukisema Nchi inapenda Mchezo wa baiskeli kwa kuwa wasukuma ndo wapo wengi nchini sioni kama ni kigezo tosha...ngoma zipo kila mkoa zimekosa promotion tu zaidi ya TBC yetu kuwa na vipindi hivyo vya kuonesha utamaduni wetu
Pia kama ni ngoma, kipimo cha ushindi kitakuwa nini tukishindanisha? mathalani, shindanisha mdundiko na sindimba; hapo inakuwaje?
 
Ufisadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Pia kama ni ngoma, kipimo cha ushindi kitakuwa nini tukishindanisha? mathalani, shindanisha mdundiko na sindimba; hapo inakuwaje?

Bahati mbaya mie sio mtaalam wa music..kwa uchache nadhan hata nyimbo au bendi zinaposhindanishwa kuna vitu majaji wanakuwa navyo wanaangalia.Hata kwenye michezo iliyokwisha juzi ya olympics ungepewa ww u judge amsure ungeshindwa mana ungeona kila pair inacheza vizuri pasipo kasoro.Vivyo hivyo kwenye ushindani wa ngoma..kuna vitu kama dressing, mpangalio wa tune za ngoma zenu...uchezaji wa ngoma(sio mnacheza pasipo kuendana na midundo ya ngoma),na mambo mengine mengi tu
Hivi umeshawahi kuona watu wa Songea wakicheza ngoma zao..utafurahi kwnye dress code yao na uchezaji wa kufwata midundo ya ngoma... usiombe likipigwa Lizombe!!
 
sasa hapo mshindi atakuwa nani?

Siku hizi mapenzi sio mpaka mwanaume aanze kumtongoza mwanamke unaweza tegwa kiaina ukaingia king..au wengine wanakufwata live kukupa yake ya moyoni, ila Mshindi anakuwa yule aliyembadilisha mwenzie mawazo pasipo kutumia pesa au mali yoyote aliyonayo...Nakumbuka tulipokuwa watoto kuna jamaa yeye alikuwa anajiona bingwa sna wakutongoza na ajigamba kwamba hawezikukataliwa na demu wa aina yoyote..ikatokea siku akapigwa Buti moja baya mbele ya darasa na mdada mmoja aliyekuwa mlokole( sasa hapo kama ni mashndano alishinda yule mdada wa kilokole)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom