Mapenzi yenu ni ya kweli, ama ya mashaka?

Mundu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2008
Posts
2,707
Reaction score
644
Saa mbili asubuhi, siku kama ya leo. Mkeo amekuomba akae na simu yako kwa masaa kumi tu..hadi saa kumi na mbili jioni. Je utakubali?... utamuachia? Na kama la, ni kwa sababu gani?
 
Kulikoni mkuu Mundu! Yamekukuta?
 
Last edited by a moderator:
cku zote kutokuwa na uaminifu kuna madhara yake
kushindwa kujiamini mbele ya mke wako
na yeye kaamua kukuomba akae nayo cmu baada ya kujua kuwa kuna kitu au anakupima akili ajue ili utampa au utamkataza mpe aridhike
 
Labda anakuomba baada ya yeye kuishiwa salio tu..na hiyo siku anataka kuwasiliana kwa kutumia simu yako..ii afanikishe mambo mbalimbali...lakini swala linabaki pale plae..mwanaume, mwana ndoa ndoana, utampa?
 
Saa mbili asubuhi, siku kama ya leo. Mkeo amekuomba akae na simu yako kwa masaa kumi tu..hadi saa kumi na mbili jioni. Je utakubali?... utamuachia? Na kama la, ni kwa sababu gani?

Kwa nini umwachie akae nayo? kwa kuwa huna matumizi nayo au ndio anajifunza kuwa operator
 
Kwahiyo kama wewe huwezi kumwachia la aziz wako eeh?
 
Kwa kuwa hakiamini? Uaminifu ni ingredient muhimu ktk mapenzi; na kutiliana mashaka (suspect) ni ingredient muhimu ktk kutengeneza Sumu ya mapenzi.
 
Hata kama ni suala la kuaminiana inategemea na kazi unayofanya. Kama wewe ni mtumishi wa ofisi nyeti ambayo unahitajika kuwa hewani wakati wote hauwezi kumwachia simu yako labda kama mpo ofisi moja.
 
mhondo ndio hata Jumapili kazi tu...?
 
Last edited by a moderator:
mhondo ndio hata Jumapili kazi tu...?
 
Last edited by a moderator:
Mbona mie namwachia simu wife hata mwezi?kama upo clean haina shida:target:
 
Hata kama ni suala la kuaminiana inategemea na kazi unayofanya. Kama wewe ni mtumishi wa ofisi nyeti ambayo unahitajika kuwa hewani wakati wote hauwezi kumwachia simu yako labda kama mpo ofisi moja.

Kama kweli mtu ni mtumishi wa ofisi nyeti na unahitajika kuwepo hewani wakati wote basi hiyo ofisi nyeti itakupatia simu.

Iweje masuala nyeti ya kiofisi utumie simu yako binafsi (tena ambayo unanunua vocha zako mwenyewe)?

Doesn't make sense.
 
Yangu anaweza kukaa nayo hata kwa maisha yake yote hata bila kunipa yake.
Saa mbili asubuhi, siku kama ya leo. Mkeo amekuomba akae na simu yako kwa masaa kumi tu..hadi saa kumi na mbili jioni. Je utakubali?... utamuachia? Na kama la, ni kwa sababu gani?
 
Simu yangu nimpe ya nini ndo maana ikaitwa simu ya mkononi hakuna haja ya kumpatia
 
nicetas amekuomba tu kwa masaa machache, ana mambo muhimu anataka kuyatatua kwa kuwasiliana, na huenda ya kwake ikawa haina albaki...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom