Leo tarehe 5 Novemba nimepata kuliangalia gazeti la Mwananchi na katika kupepesa macho nimeona yafuatayo katika habari picha katika ukurasa wa mbele na kitaifa zilizopewa uzito katika gazeti hilo.
Ukurasawa 1: Baadhi ya wanaCCM wakimshangilia mwenyekiti mpya wa JumuiyayaWazazi- Abdalla Bulembo
Ukurasawa 2: Mbunge Asumpta wa Nkenge akiongea huku ameshika Kipaza akitoa maoni yake kuhusu katiba ijayo
Ukurasawa 8: Mtaalam wa U chumi; Prof Lucian akizungumza katika hafla ya waandishi wa habari mjini Dar
Ukurasawa 10: Mjumbe wa NEC Lushoto akiwahutubia wakazi wa Bumbuli waliojitokeza kumlaki
Ukurasa 12: M/Mwenyekiti waTume ya mabadiliko ya katiba, Mh. Augustino akitoa maelezo kwa wananchi mkoani Singida
Ukurasa 13: Mbunge wa Manyoni Magharibi John Lwangi akichangia maoni wilayani humo kuhusu katiba ijayo
Ukurasa 14: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abasi kandoro akizungumza na washauri wa elimu ya juu huko Mbeya
My take: Picha zote hizi zinaonyesha wananchi wakihutubiwa tu, wakilishwa maneno. Hakuna tukio lolote la uzalishaji mali. Pia inaonyesha viongozi wa Tanzania wanapenda kuongea sana, wakati wananchi wameshachoka kusikiliza hotuba za mikakati, mipango n.k., Kwakuwa wameshasikia hotuba nyingi ambazo hadi leo hazijamwondolea kero mbalimbali mwananchi wa kawaida. Kiongozi utapata heshima kwa wananchi kwa vitendo vyako na si maneno yako.
Vile vile waandishi wa habari wamekosa weledi wa kutafuta matukio yanayoonyesha maisha ya watanzania wakiwa katika shughuli za uzalishaji mali, badala yake kuishia kutafuta picha za viongozi wakipiga domo. Hatufiki kwakweli.