Search results

  1. Gamaha

    Wanawake kwa nini mnatudanganya hamjaolewa

    Leo siku yangu imeharibika kabisa, kuna huyu mdada niko naye mwaka wa pili sasa kwenye mahusiano kumbe ni mke wa mtu bhana. na siku zote ananiambia hana mume mtoto wake aliye naye baba yake alifariki zamani. Duuh kumbe mke wa mtu jamaa yake kanipigia simu na mikwala kibao tena ni mtu wa Tanga...
  2. Gamaha

    Dar es Salaam Vs Dodoma

    Makao makuu ya nchi ni kama sebule yetu kwa wageni wanao kuja, hebu chagua sebule yako katika hizi picha kati ya Dom na DSM. DSM Dom Wadau wenye picha zingine naomba muongeze.
  3. Gamaha

    Nakemea pepo la kuanza kutembea na mke wa mtu

    Kwa Jina la Nguvu Kuu ya Uumbaji na inayoweza yote, nakemea pepo hili la kuanza kuzini na mke wa Mtu, Tooooooka pepo naushindwe kabisa. Jana ilikua mara ya pili na sasa unataka ninogewe nichonge mzinga niwe namla kila jumamosi au kila mume wake anaposafili nakataa kabisa sitaendelea na hii tabia...
  4. Gamaha

    Simba vs ura

    Wadau hii mechi mbona mmeichunia sana tunaomba updates zenu pls hasa mliopo uwanjani, nasikia mpaka sasa dakika ya sita simba 1 URA 0. Naomi updates tafadhali mi sipo uwanjani na nana kimya
  5. Gamaha

    Dell laptop inauzwa

    Window 7 Processor: Intel(R) core (TM) i5 2.27 Ghz RAM:6 GB HDD: 500 GB Type: Dell N Series With ESET NOD antivirus 1 YEAR LICENCE In a very good condition Bei Tshs: 400,000/=
  6. Gamaha

    Nauza Dell Laptop

    Imekwisha uzwa tayari jamani
  7. Gamaha

    Hii nini wakuu

    Mwana JF unatafsiri hii kama nini Ujasili, Ushujaa, Imani(Faith) au Njaa sana Watu watatu wanaamua kwenda kuwapora Simba kitoweo chao wakiwa hawana silaha yoyote ya maana just spears and a panga. swali wangapi hapa JF wangekubali kujiunga na hawa watu check link hapa chini hope itaonyesha
  8. Gamaha

    Natafuta adapter ya dell

    Wakuu wapi naweza kupata adapter ya dell N series core i5 "65W AC adaptor" kwa sasa nipo Singida kazi zote zinakwama jamani.
  9. Gamaha

    Verossa inauzwa

    ​Make: 2001 Engine: 1G VVTi, 2000 Beams KM: 119,698 CC: 2000 Accident: Taili ya kushoto iligonga Bei,5,000,000 IMEUZWA TAYARI
  10. Gamaha

    Laptop samsung min for sale

    Nauza laptop Samsung mini: spcs; 250 GB, RAM 1 GB, 1.67 GHZ ina webcam betri ni masaa sita haina cd drive. Bei chee 220,000 Tshs
  11. Gamaha

    Simba sc vs kagera sugar

    Jamani waungwana ina maana kagera hamna wana JF mbona hamtupi matokea au leo sio jumatano.
  12. Gamaha

    Samsung mini laptop inauzwa

    Kichwa cha habari chahusika mini laptop ikiwa na specification zifuatazo kwa Tsh 300,000 Processor- Intel (R) Atom (TM) CPU 1.67 GHz, 1GB RAM, 220 GB HD, Window 7 starter, ESET node ant virus a very good battery life up to 6 hrs
  13. Gamaha

    Mbadala wa demonoid me

    Wakuu ni site gani nyingine safe ya kudownload movie for free. manake demonoid imepigwa chini
  14. Gamaha

    Matumizi ya CNG(compressed natural gas) kwenye gari

    Heshima kwenu waungwana, nataka kufaham kuhusu matumizi ya CNG kwenye magari kama kuna mtu amekwisha install kwenye gari yake au kama kuna mtaalam hapa. Kwanza ni gharama za kufunga hii system kwenye gari. Na pia ni gharama kwa kila kilo na je unatumia KM ngapi kwa kilo KM/KG. Natanguliza shukrani.
  15. Gamaha

    Bajaj bei poa

    Nauza Bajaj wakuu ni 2L haijatembea mwezi mmoja, pia inahitaji matengenezo madogo ya brake injini iko powa, insurance imeisha mwezi wa tano. bei 800,000 PM me pls
  16. Gamaha

    Tigo internet for htc inspire 4g

    Wakuu natumia sikmu ya HTC Inspire 4G na line ya tigo, nimeweza kuwa connected, napata facebook e mail etc. tatizo siwezi kubrowse internet inakataa nimejalibu google search wapi, wataalam nisaidieni tafadhali
  17. Gamaha

    Azam fc vs mtibwa sukari

    Mkuu crashwise najua leo issue ya baraza la Mheshimiwa iko hot tafadhali usisahau kwenye michezo nakutegemea kwa updates mkuu leo Mnyama anaweza akatangaza ubingwa.
  18. Gamaha

    Nauza gari "verossa"

    Nauza gari with the following specs; Make: 2001 Model: Toyota, Verossa, Sedan CC; 2000, Six (6) Cylinder Automatic transmission KM: 106016 Colour; pearl white Fuel; petrol CD/Tape/ FM/AM Radio Comprehensive insurance reg; ni T...BLM NB: ina msamaha wa kodi Bei; 11.5 M NIMECHACHA JAMANI...
  19. Gamaha

    Wapi nitapata huduma ya psychotherapy hapa dar

    Heshima kwenu wakuu, nahitaji kumuona psychotherapy hapa dar nitampata wapi.
  20. Gamaha

    Be careful with who u confess to

    Three pastors took a day off and decided to go fishing after a busy Sunday. They agreed its so difficult preaching to people all the time and no one preaches to them. Sitting by the river with little response from the hooks one pastor thought of sharing his heart with others.. He...
Back
Top Bottom