Make: 2001
Model: Toyota, Verossa, Sedan
CC; 2000, Six (6) Cylinder
Automatic transmission
KM: 106016
Colour; pearl white
Fuel; petrol
CD/Tape/ FM/AM Radio
Comprehensive insurance
reg; ni T...BLM
NB: ina msamaha wa kodi
Bei; 11.5 M
NIMECHACHA JAMANI NIPUNGUZIENI HUU MZIGO
Nzuri ila namba ya mwisho sio muhimu unegeweka ya pili ya tatu ukaficha,maana inaweza kua T BAM ambayo ina zaidi ya miaka mitatu,kwakua namba haujaweka kwa nini usiweke T B(ya pili ndio muhimu)M,pamoja na exemption nakupa 10.5m
Nzuri ila namba ya mwisho sio muhimu unegeweka ya pili ya tatu ukaficha,maana inaweza kua T BAM ambayo ina zaidi ya miaka mitatu,kwakua namba haujaweka kwa nini usiweke T B(ya pili ndio muhimu)M,pamoja na exemption nakupa 10.5m
Reg. No ni. T BL kuhusu exemption sielewi full ni na half ni ipi, lakini kwa ufupi ni msamaha wa kodi kwenye magari unaotolewa kwa watumishi wa umma (Import duty, Excise duty)
[TH="width: 35%"]VIN(Vehicle Identification Number)/Serial No.[/TH]
[TD="width: 24%"]6045*** Full VIN/Serial No. will be shown on Proforma Invoice and Invoice
[/TD]
[TH="width: 21%"]Exterior Color[/TH]
[TD="width: 20%"]Silver[/TD]
[TD="colspan: 4"]Options:Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Rear Window Defroster / A/C:front / Power Steering / Tilt Wheel / Digital Meter / AM/FM Radio / AM/FM Stereo / CD Player / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors[/TD]
[TD="colspan: 4"]Comment:Very clean interior
Looks & runs great
Low mileage
Alloy wheels!!!
Very good exterior!!!
[/TD]
Hio ni bei ya mwanzo ya Rav4 auto (2000 on models) kabla ya ushuru.
Ni ngumu kuuza magari ya msamaha wa kodi ..labda umuuzie ndugu yako na gari libakiwe kwenye jina lako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.