Samsung mini laptop inauzwa

Samsung mini laptop inauzwa

Gamaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2008
Posts
3,946
Reaction score
5,087
Kichwa cha habari chahusika mini laptop ikiwa na specification zifuatazo kwa Tsh 300,000

Processor- Intel (R) Atom (TM) CPU 1.67 GHz, 1GB RAM, 220 GB HD, Window 7 starter, ESET node ant virus a very good battery life up to 6 hrs
 
Attachments

  • IMAG0304.jpg
    IMAG0304.jpg
    776 KB · Views: 129
  • IMAG0305.jpg
    IMAG0305.jpg
    656.9 KB · Views: 85
  • IMAG0306.jpg
    IMAG0306.jpg
    902.9 KB · Views: 92
  • IMAG0307.jpg
    IMAG0307.jpg
    732.8 KB · Views: 98
The same brand tena yenye favorable specifications zaidi ya hiyo (2GB RAM na 1 year warrant) nimeinunua kwa sh. 290,000/= kwenye duka moja lipo floor ya chini katika jengo la J-Mo Building mtaa wa Samora karibu na Clock Tower ya Uhuru.
 
Mkuu sasa hii ni nini mi nimeinunua Tshs 550,000 ikiwa mpya kabisa ndio maana nauza kwa bei hiyo. sasa wewe unanihalibia biashara tu hapa. nilikuwa najiuliza kila siku kwa nini watu wanapata BAN kumbe kuna watu kama nyie duniani.
 
Dah pole kwa kulanguliwa hiyo,hapo J Mall kweli kuna outlet ya samsung , vitu vyao huuza kwa bei nafuu sana,lakini usikasirike kaka ndio maana ya soko huria
 
Si kulanguliwa mkuu hata mimi nilinunua duka la sumsung.
 
Tatizo kuna watu hawaelewi kabisa mwuzaji ata angesema anauza kwa laki moja kuna watu wangesema wa elfu 70/ bei aliyosema huyu bwana ni reasonable kabisa...laptop yenye sifa alizotaja kwa hapa dubai inauzwa dhs 900 ambazo ni laki 3.6 hivyo anayesema kanunua kwa laki 2 labda ni zile zilizoibwa bandarini...aliye serious atanunua tu kaka bei yako ni nzuri kulingana na sifa za laptop yako...+971504374387
 
Hongera mkuu upo Dubai!!
 
Njoooni mnunue jamani, sio mnaishia tu kuchukua namba za sim
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom