Dar es Salaam Vs Dodoma

Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,823
4,892
Makao makuu ya nchi ni kama sebule yetu kwa wageni wanao kuja, hebu chagua sebule yako katika hizi picha kati ya Dom na DSM.

DSM
1470255294361.jpg
1470255300823.jpg
1470255309183.jpg
1470255319693.jpg
1470255337743.jpgDom

1470255379483.jpg
1470255393903.jpg
1470255402043.jpg
1470255412654.jpg
1470255420903.jpg

Wadau wenye picha zingine naomba muongeze.
 
Mtoa mada unatakiwa ujue, dodoma itachukua miaka zaidi ya 100 kuwa level sawa na dar es salaam na pia inawezekana isije hata kutokea dodoma kuwa sawa na DSM, na hii inatokana na geographical location, business n.k
Dodoma is a political town na Dar es salaam ni business City
 
Kwa maana hiyo unakusudia kutuambia kwamba kwakuwa dar ni bonge la city na wageni wetu tungependa wafikie kwenye sebule mzuri je uhamisho wa dom usitishe?
 
Mtoa mada unatakiwa ujue, dodoma itachukua miaka zaidi ya 100 kuwa level sawa na dar es salaam na pia inawezekana isije hata kutokea dodoma kuwa sawa na DSM, na hii inatokana na geographical location, business n.k
Dodoma is a political town na Dar es salaam ni business City
Well said bro.
Ila kwa wapenda mapicha.. Dodoma hii:

1471166386858.jpg
1471166402439.jpg
 
Back
Top Bottom