Aisee ni kweli leo watoto wanaua mtu bukoba
Tunaombea iwe hivyo mkuu.
TBC TAIFA WAKO HEWANI.
Frequency zao ni ngapi?Tunaombea iwe hivyo mkuu.
TBC TAIFA WAKO HEWANI.
Jamani waungwana ina maana kagera hamna wana JF mbona hamtupi matokea au leo sio jumatano.
Chamazi vipi,
mkuu ndetichia uko nje ya nchi nini tujuze yanayojili huko.
Chamazi vipi,
mkuu ndetichia uko nje ya nchi nini tujuze yanayojili huko.
Frequency zao ni ngapi?
87.5 fm
Ni 87.5... nimeshaipata namsikiliza Sued Mwinyi akifanya vitu vyake87. 2 nadhani