Search results

  1. Balantanda

    Fake zone.....Hii ni too much sasa...

    Vile umbo namba 8 linatafutwa kwa nguvu...😅😅😅....🙌🏾🙌🏾
  2. Balantanda

    Bado tunakukumbuka Regia Mtema....

    Leo ni miaka miwili tangu umetutoka mpendwa wetu Regia....Uliondoka mapema wakati bado Tanzania inakuhitaji.... Pamoja na kwamba kimwili haupo nasi lakini tupo nawe kiroho na bado tupo nawe kupitia maandiko na kauli/misimamo yako.... Binafsi nakuombea na kukumbuka kila wakati mpendwa wetu...
  3. Balantanda

    Mashabiki wa Mbeya City wabadilike, wanaiharibia sifa timu yao

    Walianza na bus la wachezaji wa Yanga..... Na leo wamelishambulia bus la wachezaji wa Prisons na gari la kiongozi wa Prisons...... Kuna taarifa kwamba mchezaji mmoja wa Prisons amejeruhiwa vibaya...... Source: Mbeya Yetu: BREAKING NEWSA LIVE MUDA HUU; WAPENZI NA MASHABIKI WA...
  4. Balantanda

    Live Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad

    Manchester derby.... Dakika ya 5 sasa Man City 0-0 Man Utd Full Time Man City 4-1 Man Utd
  5. Balantanda

    Simba ‘lose’ Ngassa

    Dar es Salaam. Simba SC are in trouble once again after handing in incomplete Mrisho Ngassa’s registration documents, it has been revealed. A credible source within the Tanzania Football Federation (TFF) confided to The Citizen yesterday that Ngassa will “definitely” don the green and yellow...
  6. Balantanda

    Kama kawaida yake....Rage amewadanganya watanzania na wana Simba

    Huu no uongo na utapeli ulio kubuhu......Ni lini Rage ataacha utapeli huu?.....Inasikitisha sana EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU SHOMARI KAPOMBE KUTAKIWA NA FC TWENTE HUU HAPA! Kwa wiki kadhaa zilizopita kumekuwepo na taarifa nyingi zinazomuhusu beki wa kimataifa wa Tanzania na timu ya Simba...
  7. Balantanda

    Tanzanian lady shows off her silky footballing skills

    Naona huyu binti amekuwa gumzo mpaka The Sun wamemkubali..... http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/4980702/Tanzanian-ladys-football-skills-are-an-online-hit.html
  8. Balantanda

    Arsenal Vs Man City: Live From The Emirates

    Salama wakuu...........Game inakaribia kuanza.... Kila la heri mashabiki wa Arsenal na Man City..... Karibuni sana kwa live updates.......
  9. Balantanda

    Man Utd Vs Liverpool: Live From The Old Trafford

    Salama wakuu...... Leo ndio siku ya watani wa jadi......Game inakaribia kuanza.... Kila la heri mashabiki wa Man Utd na Liverpool..... Karibuni sana kwa live updates.......
  10. Balantanda

    Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

    Salama wakuu...... Leo ndio siku ya Manchester derby......Game inakaribia kuanza.... Kila la heri mashabiki wa Man City na Man Utd..... Karibuni sana kwa live updates....... UPDATES: 10min: Man City 0-0 Man Utd 16min: Man City 0-1 Man Utd, a goal by Rooney! 25min: Man City 0-1 Man Utd...
  11. Balantanda

    TFF Acheni Wizi na Unyonyaji huu wa Mchana Kweupe.....

    Katika pambano la juzi la Simba na Yanga Jumla ya mashabiki 50,455 walishuhudia pambano hilo na kuingiza sh 390,568,000, huku Yanga na Simba kila moja ikiambulia sh 93.3 milioni. Watazamaji 50,455 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo iliyochezwa usiku kwa viingilio vya sh 5,000, sh 7,000, sh...
  12. Balantanda

    UEFA Super Cup 2012 - Chelsea FC Vs Atletico Madrid : Live Updates

    Live from Stade Louis II Monaco Sasa ni dakika ya 25 Chelsea 0-2 Atletico Madrid
  13. Balantanda

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    FIXTURES Sat. 14th July 1 APR vs WAU SALAAM Uwanja wa Taifa 2pm 2 YANGA vs ATLETICO Uwanja wa Taifa 4pm Sun. 15th July 3 AZAM vs MAFUNZO Chamazi 4pm 4 SIMBA vs URA Uwanja wa Taifa 4pm Mon. 16th July 5VITA CLUB vs PORTS Uwanja wa Taifa 2pm Tue. 17th July 6 ATLETICO...
  14. Balantanda

    International Club friendly: Yanga(Tanzania) Vs Express(Uganda)-Live Updates

    Mpira umeshaanza ni dakika ya 5 sasa....Yanga wanaongoza kwa goli moja lililofungwa na Jerry Tegete dakika ya 3
  15. Balantanda

    Shaffih Dauda & Co. acheni uzandiki wenu wa kuiandama Yanga.....

    Kwa muda mrefu sasa nimeshangazwa na propaganda chafu zinazoenezwa na Shaffih Dauda kupitia blog yake pamoja na kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM dhidi ya timu ya Yanga.....Shaffih na wenzake akina Ibrahim Masoud ''Maestro'(ambaye ni kiongozi wa watani zetu Simba) kwa muda mrefu sasa...
  16. Balantanda

    Kumekucha: Michael wambura aujibu waraka wa kamati ya uchaguzi ya tff.

    YAH: TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI WA TFF JUU YA TUHUMA MBALI MBALI DHIDI YANGU YA 6/3/2012 Nimepokea taarifa za shutuma mbali mbali dhidi yangu zilizotolewa na Bw Lyatu kupitia kwenye magaazeti mbali kupitia kwenye mitandao pamoja na taarifa kwa...
  17. Balantanda

    Poulsen ataja kikosi cha kuivaa Msumbiji.......Ni majina yale yale.....Je Tufafika kweli?

    Kikosi kamili kinaundwa na makipa Shabani Kado (Yanga), Juma Kaseja (Simba) na Mwadini Ali (Azam). Mabeki ni nahodha Shadrack Nsajigwa (Yanga), Masoud Cholo (Simba), Aggrey Morris (Azam), Juma Nyoso (Simba), Juma Jabu (Simba), Stephen Mwasyika (Yanga) na Kelvin Yondani (Simba). Viungo ni...
  18. Balantanda

    Viti Maalumu vyadhibitiwa

    HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya CCM imesema kuanzia sasa ukomo wa viti maalumu vya ubunge, uwakilishi na udiwani ni vipindi viwili, baada ya hapo watatakiwa kwenda majimboni kugombea. Uamuzi huo ulitangazwa jana mjini hapa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama katika Mkutano wa Baraza Kuu la...
Back
Top Bottom