Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Vile umbo namba 8 linatafutwa kwa nguvu...๐
๐
๐
....๐๐พ๐๐พ
ukiona uko na mwanamke au ndugu yako yeyote wa kike ambaye hajiamini alivyoumbwa, huyo peleka akapimwe akili.sisi wanaume tuna dhambi sana yan tunawafanya akina dada waongeze tits, kalio n.k mwisho wa siku paja, kiuno, nyonga havijulikani vilipo.
ShikamooKweli naamini jinsi mwanamke anavyokua kiumri na akikosa mwanume wa kueleweka akamuweka ndani akatulia basi level ya uchizi hupanda juu