Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Salama wakuu...........Game inakaribia kuanza....
Kila la heri mashabiki wa Arsenal na Man City.....
Karibuni sana kwa live updates.......
Rosicky ni mgonjwa?Arteta ana matatizo ya kiazi cha nyuma ya mguu au "calf" alipigwa kiatu mazoezini jana, hivyo ni bora apumzike.Diaby ni kujaribu lakini atacheza vizuri tu.
Diaby for Arteta????...........Rosicky ni mgonjwa?
Yaani mimi huyu Diaby simuamini hata kidogo.
Diaby ndio key ya ushindi leo.
Bora ashinde man city
Bora ashinde man city