Man Utd Vs Liverpool: Live From The Old Trafford

Man Utd Vs Liverpool: Live From The Old Trafford

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
12,484
Reaction score
4,826
FA-Cup-Preview-Manchester-United-vs-Liverpool-51745.jpeg

Sal
ama wakuu...... Leo ndio siku ya watani wa jadi......Game inakaribia kuanza....

Ki
la la heri mashabiki wa Man Utd na Liverpool.....

Karibuni sana kwa live updates.......
 
Rekodi inaonyesha ya kwamba Manchester United wameshakuwa wakibebwa sana na marefa kwenye viwanja mbali mbali hapo Uingereza na sasa wabebwe tena na tuone...........!

Hapa leo sitabanduka kupitia mtandao wa Super Sport pekee na nitaleta hapa jamvini moja kwa moja kwa jinsi ninavyoiona!!!

Copy kwa:
Mungi
kibanga Ampiga Mkoloni
Filipo; rafiki yangu mkubwa na mshabiki wa Man United

Na wengine wote mnaotuunga mkono washabiki wa LiverpoolFC

Karibuni kipande hiki:
 
Last edited by a moderator:
Kwa upande wa Man United naona wanakosa Rooney kwa sababu ya majeruhi

Na hata Liverpool FC kwa jumla wako flu ni beki wa kushoto ndiyo amekosekana Jose Enric na bila shaka siyo pigo kwani nafasi yake kaikava Johnson.
 
Timu ndo zinaingia uwanjani sasa..........
 
Wakubebwa leo kama kawa, penati na redcard kama kawa ni sehemu ya mchezo wa man u
 
Refa ni Howard Webb na huyu refa huwa Mi siku zote nasemaga ana damu ya Man U..........na ngoja leo tuone..........dk 90 ndiyo msema kweli
 
Refa ni Howard Webb na huyu refa huwa Mi siku zote nasemaga ana damu ya Man U..........na ngoja leo tuone..........dk 90 ndiyo msema kweli

Mziki wa liver unajulikana kwa man u hata kama tukicheza bila refa bado hawa kwetu ni wateja wa kudumu tu na kulio kufungwa na manu ni bora kufungwa na azam lakini siyo hawa (Permanent customer)
 
Derimto;;; Uko kamanda wangu?????? Nimekumissss sana jukwaani. Hapa nakwambia mtu hachomoki hata kama yuko kwake

Back
Top Bottom