Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Leo ni miaka miwili tangu umetutoka mpendwa wetu Regia....Uliondoka mapema wakati bado Tanzania inakuhitaji....
Pamoja na kwamba kimwili haupo nasi lakini tupo nawe kiroho na bado tupo nawe kupitia maandiko na kauli/misimamo yako....
Binafsi nakuombea na kukumbuka kila wakati mpendwa wetu...
Daima tutakukumbuka dada yetu, mwalimu wetu, mwakilishi wetu na mpigania haki za wanyonge....
Mungu azidi kuipa nguvu na uvumilivu familia ya mzee Estellatus Mtema katika siku hii ambayo mpendwa wetu Regia alitutoka.....
Uendelee kupumzika kwa amani mpendwa wetu....
Raha ya milele umpe ee bwana, na mwanga wa milele umuangazie, Apumzike kwa Amani
...Amina.