Mashabiki wa Mbeya City wabadilike, wanaiharibia sifa timu yao

Mashabiki wa Mbeya City wabadilike, wanaiharibia sifa timu yao

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
12,484
Reaction score
4,826
Walianza na bus la wachezaji wa Yanga.....

Na leo wamelishambulia bus la wachezaji wa Prisons na gari la kiongozi wa Prisons......

Kuna taarifa kwamba mchezaji mmoja wa Prisons amejeruhiwa vibaya......

IMG-20131029-WA0079.jpg

IMG-20131029-WA0087.jpg

IMG-20131029-WA0090.jpg

IMG-20131029-WA0092.jpg

IMG-20131029-WA0080.jpg

IMG-20131029-WA0081.jpg

IMG-20131029-WA0083.jpg

Source: Mbeya Yetu: BREAKING NEWSA LIVE MUDA HUU; WAPENZI NA MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAVUNJA VIOO YA MAGARI YA TIMU YA TANZANIA PRISONS NA KUMUUMIZA MCHEZAJI MMOJA.
 
Yaani wameshambulia mali ya magereza!!???

Na wanasubiri nini kwenda lupango?,hv hawa jamaa wakakukamata na ukapelekwa mahabusu,hivi si utatamani hata huo mpir usingeufahamu

Au ma-km hawakuwepo?
 
Mbeya city wafungiwe tu...

Waache utoto hii sio ligi ya mchangani
 
Ngoja tumsubiri Jamal na kamati zake za nidhamu wakiaanza kazi rasmi.

Adhabu ya mashabiki kama hao ni mechi zao zote kupangiwa kuchezwa bila mashabiki.
 
walioanza vurugu hizo ni magereza wenyewe

Acha kushabikia ujinga wewe....

Mashabiki wa Mbeya City wanajulikana kwa upuuzi wao....Wanapaswa kubadilika....Kwa mwendo huu itafikia kipindi ikaamriwa mechi za MCC zikachezwa bila mashabiki....

Usiniambie kama ni wachezaji ndio waliwachokoza hao mashabiki....

Kingine inabidi TFF na Polisi wapige marufuku utumiaji na uuzaji wa VIROBA uwanja wa Sokoine.....Siku za mechi za MCC pale.Sokoine Viroba/Konyagi vinauzwa sana na vinauzwa kwa uwazi kabisa....
 
Unaweza kukuta ndio hao hao
 
Hawa mashabiki wa mbeya city ni hatari sana kwa hapa mbeya, waliifanyiaga umafya yanga staki kukumbuka
 
wewe ndio uache uijnga na ufala,unajua vurugu hizo zilitokea wapi/eneo gani?unajua sababu yake?usipende kuropoka kwa usilolijua..jinga sana wewe,we unafikiri wote tuna ushabiki maandazi kama wewe.....fuatilia mambo ndio comments zako za *******.....
 
Hawa mashabiki wa mbeya city ni hatari sana kwa hapa mbeya, waliifanyiaga umafya yanga staki kukumbuka

kwa ishu ya jana walioanzisha sio mashabikiwa mbeya city..tena ilitokea baada ya mechi kuisha na mbali kabisa na uwanjani
 
Waache ushamba hao mashabiki timu ya mchangani Mbeya City. Enzi za Wanyambara ilikuwa kila timu ikiifika Mbeya lazima ipokee kichapo na ubingwa ulibaki mbeya huku hakukuwa na hata jiwe moja lililorushwa. Sasa wao kuepuka kushuka daraja tu wanaleta vurugu. Huu ni ushamba kupitiliza, Malinzi hiki ndio kipimo cha uwezo wako kuongoza TFF. Nidhamu Kwanza...
 
mbeya city inawashika vibaya, mpaka mnatafuta namna ya kuwahujumu.... fanyeni mfanyalo sisi mashabiki wake haturudi nyuma tutaendelea kuisaport timu yetu...... mpira uliisha vizuri wewe unaleta post za nje ya uwanja si ujinga huo....
 
wewe ndio uache uijnga na ufala,unajua vurugu hizo zilitokea wapi/eneo gani?unajua sababu yake?usipende kuropoka kwa usilolijua..jinga sana wewe,we unafikiri wote tuna ushabiki maandazi kama wewe.....fuatilia mambo ndio comments zako za *******.....

Duh......

Wanasema maneno pekee huonesha kiwango cha busara cha mtu......Na huumba pia...

Kwa bandiko lako hili linaonesha MCC ina mashabiki wa aina gani....

Anyways naomba nikupuuze tu mkuu wangu.....

Unapaswa kujiuliza ni kwa nini Egypt mechi zinachezwa bila supporters.....Na wakati mwingine Italy......
 
mbeya city inawashika vibaya, mpaka mnatafuta namna ya kuwahujumu.... fanyeni mfanyalo sisi mashabiki wake haturudi nyuma tutaendelea kuisaport timu yetu...... mpira uliisha vizuri wewe unaleta post za nje ya uwanja si ujinga huo....

Wewe ndo mjinga unaeshabikia vurugu, mbeya city ni timu nzuri na inafanya vizuri lakini haiwapi ruhusa kufanya vurugu uwanjani, mpira ni burudani na huunganisha watu si kuwagawa watu, Siku timu ikafanya vibaya watawageukia viongozi na wachezaji alafu ndo utajua nini tunaongea
 
mbeya city inawashika vibaya, mpaka mnatafuta namna ya kuwahujumu.... fanyeni mfanyalo sisi mashabiki wake haturudi nyuma tutaendelea kuisaport timu yetu...... mpira uliisha vizuri wewe unaleta post za nje ya uwanja si ujinga huo....
Lililotolewa ni angalizo tu Chifu....Ambalo halitakuwa na impact yoyote kwenye performance ya MCC.....

Ndo maana nikawataja mashabiki na si timu kama timu....Kwamba mashabiki wa MCC wabadilike, wataiharibia sifa nzuri MCC...

Hakuna mtu asiyeujua ubora wa MCC.....Matukio yanayofanywa na mashabiki ndani na nje ya uwanja wa Sokoine yanaiharibia sifa nzuri timu yenu na nachelea kusema kwamba yanaihujumu timu....Mechi na Yanga MCC walitozwa faini ya Tshs. milioni 1....Kwa timu changa kama MCC hiki ni kiwango kikubwa sana....Fedha hizi zingetumika kuisaidia timu katika mambo mengine....

Utajisikiaje Prisons wakipeleka malalamiko TFF na TFF wakaufungia uwanja wa Sokoine ama wakaagiza Mechi za MCC zichezwe bila supporters.....Ni mambo madogo tu ambayo yanaweza kuwakosesha uhondo wa kuangalia VPL.....

Suala la usalama wa timu/wachezaji haliangaliwi ndani ya uwanja tu...Ni mpaka nje ya uwanja...Ndio maana sehemu nyingine timu husindikizwa kwenda ama kutoka uwanjani na escort ya Polisi ambayo.huambatana na ulinzi pia....

Ni ushauri tu....

Bala.
 
Back
Top Bottom