Search results

  1. Zemu

    Mwenye taarifa ya chanjo ya homa ya manjano

    Habari wakuu, Mwenye taarifa za upatikanaji wa chanjo ya homa ya manjano, gharama yake na siku inayotolewa ni siku gani?
  2. Zemu

    Mishahara SUA haieleweki.

    SUA tuna hali mbya, hadi leo mishahara bdo. Hali si shwari kabisaaa.
  3. Zemu

    Luhanjo ateuliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Baraza La Chuo SUA

    Baada ya Balozi Kuhanga kumaliza muda wake JK kamteua Philomen Luhanjo kuwa Mwenyekiti Mpya wa Baraza La Chuo SUA.
  4. Zemu

    Uimara, Ubora na Matumizi ya mafuta ya Toyota Corolla Spacio Old Model 4A engine.

    Wana JF, nakusudia kununua TOYOTA COROLLA SPACIO Old Model 4A au 7A Engine, Naomba nijuzwe ubora wa hizo gari, matumizi ya mafuta na km kuna tatizo sugu linalosumbua hizo gari. Nawasilisha.
  5. Zemu

    Kuchelewa mishahara ni vyuo vyote au sua tu?

    Hali mbaya.
  6. Zemu

    Msaada: Wapi nitapata fundi mzuri wa samsung yangu sgh a797.

    Wana JF niko mbali na Dar, bahati mbya simu yangu imesumbua mkanda(samsung SGH A797) na omba nipate simu ya fundi hapo town dar niweze kumuuliza kma atanipatia spea.Natanguliza shukrani zangu kwa wanaJF wote.
  7. Zemu

    Msaada jinsi ya kujiunga na internet service ya Voda na Tigo kwenye simu

    Wadau nina simu samsung SGH A797 ningependa nijue nitajiunga vipi na internet services za voda na tigo. Aksanteni.
  8. Zemu

    Tatizo ni sua tuu, au hata vyuo vingine?

    Wadau nimevumilia nimechoka, kuna miezi inayofikia minne hali ya ulipwaji wa mishahara hapa SUA si nzuri, mishahara hulipwa tarehe 30, 31, 1, 2 nk, na kila kabla mishahara kulipwa lazima itolewe barua inayoeleza mchakato mchakato, mi ni mtu mdogo sana hapa na sina pa kusemea, ila kuwa kutumia...
  9. Zemu

    Tanzania haiuziki tena

    Sababu kuu ambazo hakuna mteja anaweza kuja kuinunua Tanzania angalau hata tugawane hela zitakazo patika kila mtu aishi maisha anayotaka hapa hapa au nchi za nje ni NCHI KUUZWA VIPANDE VIPANDE. 1. Madini yameisha kumebaki mahandaki. 2. Pwani yote imetolewa kwa wawekezaji kwa mikataba ya zaidi...
  10. Zemu

    Tusker Lager: Kutoka TBL kwenda SBL, kulikoni?

    Wandugu wana JF na wapenzi wa Tusker Lager, kuna kitu kinaniumiza kichwa kuhusu hii bia tamu ya tusker ambayo zamani TBL walikuwa wanazalisha under licence na sasa naona SBL.Je kipi kilitokea mpaka hawa SBL wawe ndio wanaimiliki au kuzalisha?. Kwa upande wangu sina imani sana na uwezo wa SBL...
  11. Zemu

    Kima cha chini cha mshahara: Tsh 135,000/=

    WANA JF, JE KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA CHA TSH 135,000/= MNAKIONAJE? TAARIFA ZISIZO RASMI ZINASEMA SERIKALI IMEGOTEA HAPO HAITAKI KUPANDA HATA KUFIKIA 150,000/= NA KODI WAMESHUSHA KWA ASILIMIA 1 TU. KAZI KWELI KWELI:mad2:
  12. Zemu

    Mabadiliko ya tarehe ya Harusi

    WanaJF napenda kuwataarifu kuwa ile tarehe ya mwanzo ya harusi yangu imesogezwa hadi tar 17/07 kutokana na kuingiliana na kikao kikubwa cha wachungaji pale Tanga.Maandalizi mengine yanaendela kama kawaida.Karibuni sana.
  13. Zemu

    Wahadhili wa vyuo vikuu wanabeep mgomo

    KUNA MSEMO UNAOSEMA "UOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO" MSEMO HUU UMEDHIHIRISHWA WAZI NA WALIMU WA VYUO VIKUU TANZANIA.MGOMO WALIOTANGAZA KUWA UTAFANYIKA KATI YA TAR 27 NA 28 APRIL UNAONEKANA KUTOFANYIKA KWANI KUMEKUWA NA VIKAO VYA HAPA NA PALE VYA KUTAFUTA MUAFAKA AMBAVYO KIMSINGI VILISHAFANYIKA...
  14. Zemu

    Utamu wa bazoka ni mate yako mwenyewe

    Inaniuma sana kuona sisi wanaume tu ndio tunaotoa fedha au kuhonga chochote wanawake hasa baada ya kusex na hata kama ni gf wako mnae pendana sana au hata kama ni mlupo tu asubuhi lazima akitoa upepo kama bia kanywa, nyama kala na raha za sex tumekapata wote, sasa kwa nini mimi (mme) nikupe tena...
  15. Zemu

    Mabucha tofauti nyama ile ile

    :drum:WanaJF hebu tuliangalie hili, kuna baadhi ya wanaume wakiona mwanamke mwenye makalio makubwa mate yanamtoka hata kama ni mke wa mtu anatamani aduu nae, wakati huo huo wapo wanopenda wenye makalio ya wastani na wengine huwapenda wale wenye bapa kabisa.Najiuliza kila siku ni kipi hasa...
  16. Zemu

    Kitu kizuri kula na nduguyo

    Wapendwa wana jf, napenda kuwataarifu mapema kuwa mnamo tarehe 10/07/2010 natajia kufunga ndoa huko tanga katika kanisa la kilutheri la kana, na kisha tafrija itafanyika pale railway club kuanzia saa 2 usiku.ukiwa kama ndugu, jamaa na mwanajf nawakaribisha wote kwani nimekuwa nanyi tangu 2008 na...
  17. Zemu

    Hii ni sawa jamaniii

    Wana JF nisaidieni.Hivi unamchumba kisha akakuambia eti anashiriki kwenye tangazo la mfano sigara ukamshauri akakataa na wewe uko ofisi vyeti sana yenye heshima kweli kweli na yeye pia si haba ni msomi wa chuo kama Mzumbe.Hivi kweli ukimuambia achape lapa kuna makosa kweli.Naomba mawazo yenu jamani.
Back
Top Bottom