Wahadhili wa vyuo vikuu wanabeep mgomo

Zemu

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
518
80
KUNA MSEMO UNAOSEMA "UOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO" MSEMO HUU UMEDHIHIRISHWA WAZI NA WALIMU WA VYUO VIKUU TANZANIA.MGOMO WALIOTANGAZA KUWA UTAFANYIKA KATI YA TAR 27 NA 28 APRIL UNAONEKANA KUTOFANYIKA KWANI KUMEKUWA NA VIKAO VYA HAPA NA PALE VYA KUTAFUTA MUAFAKA AMBAVYO KIMSINGI VILISHAFANYIKA BILA MAFANIKIO.SWALA LA PPF NA WAALIMU WA VYUO VYA SERIKALI SI LA SIKU ZA HIVI KARIBUNI NI LA MIAKA MINGI SANA TU, SASA HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUONVYESHWA KUWA WALIMU WAMEKERWA NA JAMBO HILI LA PPF KUTOTAKA KUREKEBISHA MAFAO YA WALIMU ISIPOKUWA KUGOMA.WATANZANIA NI WAOGA SANA KUGOMA, MBONA UGANDA WALIMU WA VYUO WALIGOMA ILI WAONGEZWE MISHAHARA? TUACHE NIDHAMU YA WOGA TUPELEKE UJUMBE WETU KIMATAIFA KWA MGOMO.PPF NI WANYONYAJI MBONA PSPF WANAWAPA WATEJA WAO MAFAO MAZURI? KWA NINI PPF TU? "PAIN FOR ONE IS PAIN FOR ALL":target:
 
Tanzania ya miaka 5 iliyopita sio ya leo. mgomo uko palepale, wahadhili wamekinai
 
kati ya hao waalimu na viongozi wenu kuna mamluki wa serikalini ambao wanawayeyusha msigome! You need to be brave and stop listening to their lies!
 
Back
Top Bottom