Tanzania haiuziki tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania haiuziki tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zemu, Aug 4, 2011.

 1. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sababu kuu ambazo hakuna mteja anaweza kuja kuinunua Tanzania angalau hata tugawane hela zitakazo patika kila mtu aishi maisha anayotaka hapa hapa au nchi za nje ni NCHI KUUZWA VIPANDE VIPANDE.

  1. Madini yameisha kumebaki mahandaki.
  2. Pwani yote imetolewa kwa wawekezaji kwa mikataba ya zaidi ya miaka 35 ili wajenge mahoteli.
  3. Kiwanja cha ndege kimetolewa kwa wadhungu nao wanatulipa dola 1000 kwa mwezi.
  4.Umeme kwa mgao
  5.Mafuta kwa mgao
  6.Wanyama pori na mbuga za wanyama zimepewa kwa waarabu kwa mikataba mirefu.

  nk nk nk

  Je ni mteja yupi atakae kuja kununua nchi ya aina hii ambayo hata uongozi hakuna, imepoteza muelekeo na mbele ni giza la maendeleo ya jamii.
   
Loading...