Mabucha tofauti nyama ile ile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabucha tofauti nyama ile ile

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zemu, Apr 22, 2010.

 1. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  :drum:WanaJF hebu tuliangalie hili, kuna baadhi ya wanaume wakiona mwanamke mwenye makalio makubwa mate yanamtoka hata kama ni mke wa mtu anatamani aduu nae, wakati huo huo wapo wanopenda wenye makalio ya wastani na wengine huwapenda wale wenye bapa kabisa.Najiuliza kila siku ni kipi hasa kinachowazuazua watu? Kuna msemo wa waswahili wanasema "Mabucha tofauti nyama ile ile".Je kuna ukweli hapo.:target:
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280


  hapana

   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  No no no! Kila ng'ombe anao mlio wake wakati unamchinja.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Quote of the day! Say it again n loud!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mmmh !
   
 6. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kila nyama na utamu wake hata uandaaji unafanya ladha ikatofautiana...... vionjo mkuu
   
 7. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asikudanganye mtu, nyama si ile ile hata kidogo. Mwanamke mwingine unajikuta unataka tu kuendelea hamu haishi na utamu wa hali ya juu na mwingine ukimaliza mara moja tu hata kumgusa tena hutaki wala akikupa siku nyingine hutataka tena. Huu ni msemo tu ambao hauna ukweli wowote.
   
 8. a

  ally mkali Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 27, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mnyama ni yule yule ila nyama ni tofauti nyama ya mbavu si ya mguu, mapishi ya pwani si ya Bara.
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  You can say it again!
   
 10. Suzzie

  Suzzie Member

  #10
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kazi ipo, haya walaji mwageni data.
   
 11. m

  masho Member

  #11
  Apr 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  no comment
   
 12. RR

  RR JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Katika yale mambo, ubongo ndio sehemu muhimu kushinda vyote.
  In order for the brain to decide, its has to be stimulated! Kwa hiyo kabla ya kuipenda nyama lazima bucha likuvutie.
  Pia nyama hazifanani, kuna iliyonona na iliyokonda.
   
 13. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nyama ni moja but mapishi tofauti na ladha ni tofauti mkubwa. ndo mana kuna lost, soseji, ya kukaanga na mzaga mengi test quite different. hivi ni kweli we hujaona
   
 14. kizaizai

  kizaizai JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 2,740
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280
  Wallah nyama ni tofaitu. Je tunaokula Kiboga tutasemaje?
   
 15. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mmhhhh!!! ina maana..
   
 16. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Data zipi tena Suzzie? Huwezi kumwaga mtama kwenye kuku wengi ati!
   
Loading...