Search results

  1. Kitu Kizito

    TANZIA TLS wamlilia Wakili Ojare

    Chama cha mawakili Tanganyika (TLS) kimepata pigo baada ya aliyekuwa mwanachama cha Chama hicho wakili Loomu Ojare kufariki dunia ghafla akiwa kazini. Ojare alifariki dunia na kuzikwa nyumbanj kwake mapema skku kadhaa zilizopita baada ya kuugua ghafla akiwa kazini na hivyo kuacha pengo kubwa...
  2. Kitu Kizito

    Mke wa Lissu ataka kuwajua waliotumwa na aliyewatuma kumuua mume wake. Wana mpango gani tena?

    Mke wa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, amesema angependa kuwajua watu waliomshambulia mumewe, aliyewaamuru wafanye shambulio hilo na sababu za kufanya uovu huo. Mke huyo ambaye pia ni wakili, Alicia Magabe anasema kuwafahamu watu hao ni muhimu kwa kuwa familia haijui kwa...
  3. Kitu Kizito

    Mbunge wa Rombo Joseph Selasini Kusherehekea Mwaka Mpya Kwa Kupanda Miti na Wananchi Wake

    Mbunge wa Rombo Mh Joseph Selasini (CHADEMA) ataongoza mamia ya vijana na wanajamii wengine katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti jimboni humo kesho January 1, 2017 katika eneo la Mamsera. Zaidi ya miche 1000 ya miti imeandaliwa kuoteshwa maeneo mbalimbali ya Jimbo la Rombo katika...
  4. Kitu Kizito

    Kikao cha leo bodi ya Barabara Arusha: Mwenyekiti ni RC Gambo, Makamu Mbunge Lema

    Leo Alhamisi ya Oktoba 20, 2016 kuna kikao muhimu cha bodi ya Barabara ya Mkoa wa Arusha ambapo Mwenyekiti huwa ni RC na makamu wake ni Mbunge. Kwasasa RC ni Mrisho Gambo na Mbunge ni Gobless Lema Nitawajuza kama wakitandikana mangumi! UPDATES Kikao kimeahirishwa kutokana na ziara ya ghafla...
  5. Kitu Kizito

    Tahadhari kwa RC Arusha (M. Gambo): Kujitambulisha kwa Wafanyabiashara Usiku si Salama Kwake!

    Naandika haya kwa nia njema tu kutokana na taarifa ambazo vyombo vya usalama vinaweza kufuatilia zaidi kuhusu usalama wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh Mrisho Gambo katika ziara zake za kujitambulisha kwa wadau mbalimbali ndani ya mkoa wake kiutawala. Kuna wadau wametonya kwamba tabia ya kwenda...
  6. Kitu Kizito

    Siku ya WAZEE: Kisa cha Mzee wa miaka 94 aliyemsitiri JK Nyerere na kisha kutelekezwa na Serikali

    Huyu ni mzee Piniel Abraham, alizaliwa mwaka 1922, na hivi sasa ana miaka 94. Alikua rafiki mkubwa wa Baba wa Taifa hili Hayati Mwalimu Julius K Nyerere. Mwalimu alimthamini sana kama rafiki yake mwenye nia njema. Mzee huyu ndiye alieyempa hifadhi baba wa Taifa kipinidi wanatafuta Uhuru. Mzee...
  7. Kitu Kizito

    Kama Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya kusoma, kwanini hakuandikiwa kwa Kingereza kabisa?

    Mwenyekiti wa EAC alihutubia Dunia kutokea Dar es Salaam jana katika Mkutano wa wakuu wa Jumuia hiyo. Katika hotuba yake, alitumia lugha ya Kiswali na kisha kutafsiriwa na mkalimani kwenda Kingereza. Hotuba ya Kiswahili ilikuwa ni ya kusoma. Imani yangu katika kusave cost ya muda na hela...
  8. Kitu Kizito

    Ole Sosopi wa BAVICHA ameyasema haya baada ya Adhma na Zuio la Kwenda Dodoma kuzuia Mkutano wa CCM

    Awali ya yote nimshukuru Mungu kwa uzima aliotuonekania wote sisi viongozi wa Bavicha na wanachama wote. Nitumie fursa hii adhimu sana kwa kifupi tu, kuwa shukuru vijana wote nchi nzima kwa support kubwa na hamasa mliyoionyesha tangu Bavicha tutoe tamko la kwenda Dodoma kuzuia mkusanyiko...
  9. Kitu Kizito

    Sitarajii Kuona Bendera za CHADEMA zikiondolewa Dodoma na Mji Kupamba na za CCM

    Kwa maelezo ya kujichanganya ya Jeshi la Polisi, ni wazi kuwa wamebariki Mkutano wa CCM Julai 23 2016 kuwa si haramu kama Mikutano ya vyama vingine ilivyoharamishwa bila hoja za Msingi. Kwasababu wamejikana na kudai wao walizuia Mikutano ya hadhara na maandamano na si ya ndani ya kikatiba...
  10. Kitu Kizito

    Neno la Katibu Mkuu CHADEMA: Sisi Tuendelee na Utawala wa Sheria

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh Vincent Mashinji amewapa angalizo hili kwa Mameya wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla. Nanukuu.. "Naomba niwapongeze kwa kazi kubwa mliyo ifanya tokea kuchaguzi wa Udiwani hadi ngazi ya Umeya na Wenyeviti wa halmashauri. Tnataka Mkitoka hapa (kwenye kikao Arusha) tuone...
  11. Kitu Kizito

    Lowassa akiwafunda Mameya wa UKAWA

    Akizungumza katika mkutano wa mameya na wenyeviti wa Halmahauri watokanao na CHADEMA unaofanyika East Africa Hotel Arusha leo, Mh Lowassa amesema.. Tunataka halmashauri zetu ziwe za mfano Tanzania kwakuwa na Agenda ili tujue nikipi kipaumbele cha kuwatumikia wananchi, pia tuangalie Ni...
  12. Kitu Kizito

    BAVICHA Hakikisheni Mnafika Dodoma Kama Mlivyopanga

    Bila kuzunguka mbali niwapongeze Vijana wa Chadema ambao mpaka sasa wameshajiandikisha idadi inayofikia 5000 kwa ajili ya kwenda Dodoma kulisaidia Jeshi la Polisi kuwakumbudha CCM kuwa Mikutano ya Kisiasa imezuiwa Haya ndio mambo yanayotakiwa kufanywa na vijana wanaojali taifa lao na kuheshimu...
  13. Kitu Kizito

    Maoni ya Mhariri: Kwa hali ilivyofikia, Polisi watoe kauli inayoeleweka

    Jeshi la Polisi linakabiliwa na swali jepesi kwamba katika utumishi wake linamtumikia nani? Majibu ya swali hili yatawasaidia wananchi kujua kwanini limekuwa likijichanganya linapotoa sababu za kufuta mikutano ya vyama vya siasa. Katiba ndiyo inatoa haki na uhuru wa wananchi kujumuika bila...
  14. Kitu Kizito

    Jukwaa la Katiba: Mchakato Katiba mpya uanze upya

    Dar es Salaam. Jukwaa la Katiba (Jukata) limeitaka Serikali kutangaza kwenye gazeti la Serikali tarehe ya kuanza upya kwa mchakato wa Katiba mpya. Mwenyekiti wa Bodi ya Jukata, Deus Kibamba amewaeleza waandishi wa habari leo kuwa Serikali pia inatakiwa ipeleke bungeni miswada miwili ili...
  15. Kitu Kizito

    Mchumi: TRA haiwezi kukusanya kodi ya Majengo

    Mchumi na mtafiti wa uchumi amesema uamuzi wa Serikali kuipa Mamlaka ya Kodi (TRA) kazi ya kukusanya kodi ya majengo badala ya halmashauri za wilaya, utapunguza mapato hayo kutokana na upungufu wa rasilimali watu. Akitoa maoni yake kuhusu bajeti ya mwaka 2016/17 iliyowasilishwa bungeni juzi...
  16. Kitu Kizito

    Kambi ya Upinzani yataka Posho zifutwe na Wabunge wasiochangia hoja na Bungeni wakatwe mishahara!

    Shemu ya hotuba ya msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu masuala ya fedha na Bajeti, Mh Silinde David inasomeka hivi... "Mheshimiwa Spika, kabla sijatoa maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu bajeti ya Serikali ya 2016/17, napenda kuweka rekodi sawa kuhusu upotoshaji unaofanywa na Wabunge wa CCM...
  17. Kitu Kizito

    Raila akataa kusitisha maandamano ya kuipinga Tume ya Uchaguzi ya Kenya

    Kiongozi Mkuu wa Upinzani amesimamia msimamo wa kundi analoliongoza wa kutositisha mandamano yanayopinga mfumo wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya wakiituhumu kutokuwa huru. Link hii ina maelezo zaidi "]Raila says he won’t call off demos
  18. Kitu Kizito

    Jinamizi la Lowassa latimua wanaCCM 62 Songea

    Wakati CCM Ruvuma ikiwatimua wanachama 62 kwa usaliti ikiwamo kumuunga mkono Edward Lowassa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, wabunge wa chama hicho wameteua wenzao 15 kufanya tathmini ya uchaguzi huo ikiwamo mchakato wa kura za maoni ndani ya chama hicho. Katika tukio la kwanza, Mwenyekiti wa CCM...
  19. Kitu Kizito

    Maaskofu Katoliki wamtaka Rais Magufuli kutumia busara

    Taarifa iliyopewa uzito katika ukurasa wa mbele gazeti la Mtanzania la leo Juni 8 2016 linaelezea ushauri wa viongozi wa dini kwa Rais Magufuli katika namna nzuri ya kuongoza Serikali yake na kufanya maamuzi kwa busara. ======== NA BENJAMIN MASESE, MWANZA BARAZA la Maaskofu Tanzania...
  20. Kitu Kizito

    Nasubiria kuona tunaokoa kiasi gani kutoka kwenye kukimbiza mwenge

    Hapana shaka kuwa dhamira na nia halisi ya kuwasha mwenge enzi zile za Mwalimu haipo tena sasa. Katika maeneo ambayo taifa linatumia fedha nyingi za umma kwa matukio yasiyo ya lazima, mbio za mwenge ni eneo mojawapo. Mbali na tapanya fedha bila uzalishaji, unachangia kwa kiwango kikubwa...
Back
Top Bottom