SeriaJr TW
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 246
- 224
Hapana shaka kuwa dhamira na nia halisi ya kuwasha mwenge enzi zile za Mwalimu haipo tena sasa.
Katika maeneo ambayo taifa linatumia fedha nyingi za umma kwa matukio yasiyo ya lazima, mbio za mwenge ni eneo mojawapo.
Mbali na tapanya fedha bila uzalishaji, unachangia kwa kiwango kikubwa ongezeko la vitendo vya zinaa na maambukizi ya magonjwa yatokonanyo huku ukifarakanisha ndoa na mahusiano ya watu.
Kama Rais Magufuli anamaanisha kubana matumizi na kufuta matumizi yasiyo ya lazima, ni wakati sasa kufikiria au kuamua kuutengea eneo la kumbukumbu huu mwenge na historia yake kwasababu hauna uzito kama kumbukumbu ya kuzaliwa Tanzania.
Nasubiri kuona..