SeriaJr TW
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 246
- 224
Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh Vincent Mashinji amewapa angalizo hili kwa Mameya wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla. Nanukuu..
"Naomba niwapongeze kwa kazi kubwa mliyo ifanya tokea kuchaguzi wa Udiwani hadi ngazi ya Umeya na Wenyeviti wa halmashauri.
Tnataka Mkitoka hapa (kwenye kikao Arusha) tuone utofauti wenu na viongozi wengine.
Nchi yetu kwa Sasa haifuati Utawala wa Sheria bali inaongozwa na kwa matamko, hivyo inatupasa kuwa waangalifu sana na Matamko haya. Sisi tuendelee na Utawala wa Sheria.."