Search results

  1. M

    Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika. Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha Pm au email; godfreycyp@yahoo.com
  2. M

    Anahitajika secretary

    Anahitajika secretary kazi ya mwaka ila inaweza kuwa inaongezwa muda. SIFA -ajue computer vizuri -awe mchapa kazi kuna wakati ofisi inafungwa saa 12. -Awe mwepesi kujifunza -Awe mwaminifu -Aweze kufanya kazi kama team na wafanyakazi wengine . -umri kuanzia 18–45yrs Maombi yatumwe...
  3. M

    Masikini anazaa watoto wengi na kushindwa kuwahudumia

    Habaria moja ya mtu mmoja huko kilimanjaro ana watoto 12, hana nyumba na watoto hapeleki shule. Anaomba kusaidiwa kulea watoto na kusoneshewa. Kuna mahali serikali itamke ukomo wa kuzaa kulingana na uwezo vinginevyo baadhi wanatesa watoto. Wenye watoto wengi wanaamini wenye watoto wachache...
  4. M

    Unaweza kujifunza kitu kupitia mimi

    NOTE: SIKO VIZURI KTK UANDISHI, MAPUNGUFU UYAVUMILIE CHUKUA UJUMBE Naanzia baada ya kumaliza form 4. Nikiwa nimemaliza form 4 nilichaguliwa kujiunga na A level kwakuwa mambo ya kiuchumi yalikuwa ni magumu kifamilia nichelewa kuripoti ili niweze kuweka sawa mambo ya kifedha mara nianzapo Form...
  5. M

    Msaada: Mwenye uelewa kuhusu uingizwaji na utoaji bidhaa nje ya nchi

    Habari wana JF, Naomba msaada kujua taratibu ninazo takiwa kufanya ili niweze kuagiza mzigo wa matairi ya gari kutoka China. Zipo kampuni kama mbili ambazo nawasiliana nazo. Hapa nataka kujua kuhusu ubora unaotakiwa na ni kipi kinatakiwa kufanya kabla maana huwa tunaona mizigo ya watu ikichomwa...
  6. M

    Biashara ya kubeti

    salaam wana jf. Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua anisaidia . Natanguliza shukrani kwa wana jf wote
  7. M

    Biashata ya kubeti

    salaam wana jf. Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua anisaidia . Natanguliza shukrani kwa wana jf wote Not: kuwa wakala
  8. M

    Pickup dcabin toyota or hard body nisan

    Ndugu wana jf kwa yeyote mwenye gari hizo nilizo zitaja nahitaji moja iliyo kwenye hali nzuli mpa ac na bei iwe ya kawaida kulinga na halihalisi. Mwenye nayo ani pm ikiwezekana aweke picha.
  9. M

    Biashara nyingine!

    habari wana jf, mimi nina fanya biashara ya mazao ya shamba ila ninge omba kufahamu mfumo unao tumika kwa wa nunuzi wa ufuta na mazao mengine ambayo soko lake huwa ni kwa wahindi . una kuta wameanza na tsh,2900 alafu baadaye wana punguza wana nunua sh 2600 ni si muda mrefu tangu...
  10. M

    kusoma on line

    ndugu wana jf naomba kujua ambaye alisha wahi soma online kozi za BIASHARA vyuo vya marekani maana nategemea march nianze shule 1; sijui ugumu wake na kama kuna usumbufu wa kufanya nishindwe kumaliza kozi? Mwenye kujua anijuze ndugu zangu , Natanguliza shukrani
  11. M

    Wanao jua soko la uhakika la asali.

    Ndugu zangu wana JF nipo kwenye utafiti wa kufahamu soko la uhakika la asali na bei zake, maana muda wowote kuanzia sasa nataka kuanza kufuga nyuki na nimesha andaa mpango mzima kwa kuwa uzalishaji utakua mkubwa nataka kupata soko la uhakika lenye bei inayo endana na ghalama za uzalishaji...
  12. M

    Biashara ya utalii wa ndani ya nchi

    Wana jf naka kuanzisha biashara ya utalii wa ndani ya nchi ,sifahamu wapi wana anzia naomba ushauli kwa wanao jua.
Back
Top Bottom