Pickup dcabin toyota or hard body nisan

masagati

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
469
500
Ndugu wana jf
kwa yeyote mwenye gari hizo nilizo zitaja nahitaji moja iliyo kwenye hali nzuli mpa ac
na bei iwe ya kawaida kulinga na halihalisi.
Mwenye nayo ani pm ikiwezekana aweke picha.
 

Westham

Member
Nov 7, 2013
23
0
Ipo Toyota Hilux ya mwaka 2003, Imebadilishwa Rubber Bush zote, Full Service, Gas ya A/c imeshajazwa, Gari ilikuwa inafanya kazi za nyumbani tu, Haijafanya kazi ya shamba. Bei 17million, Maelewano yapo, Gari ipo Ilala kama unataka kuiona. Kwa Mawasiano zaidi 0714 666766
 

Attachments

 • hilux.jpg
  File size
  92 KB
  Views
  94
 • hilux1.jpg
  File size
  83.7 KB
  Views
  97

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom