Masikini anazaa watoto wengi na kushindwa kuwahudumia

masagati

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
489
349
Habaria moja ya mtu mmoja huko kilimanjaro ana watoto 12, hana nyumba na watoto hapeleki shule.

Anaomba kusaidiwa kulea watoto na kusoneshewa.

Kuna mahali serikali itamke ukomo wa kuzaa kulingana na uwezo vinginevyo baadhi wanatesa watoto.

Wenye watoto wengi wanaamini wenye watoto wachache hawawezi kuzaa, kumbe wenzao wanazaa kulingana na uwezo wa kuwahudumia
 
Habaria moja ya mtu mmoja huko kilimanjaro ana watoto 12, hana nyumba na watoto hapeleki shule.
Anaomba kusaidiwa kulea watoto na kusoneshewa .
Kuna mahali serikali itamke ukomo wa kuzaa kulingana na uwezo vinginevyo baadhi wanatesa watoto.
Wenye watoto wengi wanaamini wenye watoto wachache hawawezi kuzaa , kumbe waenzao wanazaa kulingana na uwezo wa kuwahudumia
Elion Musk ana watoto 7 huko,

Mtu asiyezaa ni mgumba... Acheni kuwatetea
 
Kwa nchi zinazojitambua,
Watoto wote Ni Mali ya serikali,

Jukumu la kuwahudumia ubaki kua la serikali, Pia wazAzi wanaozaa watoto wengi, upewa motisha na bonus mbalimbali wafurahie matunda ya uzao wao.

Kiujumla, Watoto wengi ukuza idadi ya watu nchini, ambao pia ukuza uchumi wa nchi.
 
Kwa nchi zinazojitambua,
Watoto wote Ni Mali ya serikali,

Jukumu la kuwahudumia ubaki kua la serikali, Pia wazAzi wanaozaa watoto wengi, upewa motisha na bonus mbalimbali wafurahie matunda ya uzao wao.

Kiujumla, Watoto wengi ukuza idadi ya watu nchini ambao pia ukuza uchumi wa nchi.

Nchi gani inahudumia watoto mkuu?
Mimi sijawahi kuisikia.
 
Kuzaa watoto wengi ukuza uchumi wa nchi Na kuongeza usalama wa nchi

1. mnakua na soko kubwa la ndani, hata mkipigwa vikwazo vya export, soko la ndani likijiyosheleza mnadunda bila wasiwasi.

2. Mnakua na labor force ya kutosha, angalia wazungu wanavyohangaika Kwenda kujenga viwanda China na india ambako Kuna labor force ya kutosha na sio uko kwao ulaya na marekani.

3. Mnakua na jeshi la kutosha,
Angalia jinsi Russia anavyomu-outnumber Ukraine kwenye uwanja wa vita, 20/100 men sio wiano mzuri kwenye battle field.
 
Back
Top Bottom