Search results

  1. The Monk

    Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

    Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume. Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya hicho kitendo na mwanamke mwingine kwenye Kitanda anacholalia na Mke wake. Sasa kama unamheshimu...
  2. The Monk

    Wanaume kwa Sound Hatujambo!

    Mh! Tuwe tunaangalia na tunaempiga sound. Cartoon: Mr & Mrs - Vanguard News
  3. The Monk

    Nafasi za kazi UNDP

    Kwa mliobahatika kwenda shule na kupata uzoefu, jaribuni kuomba hizo nafasi kama unavigezo wanavyo vihitaji. UNDP Tanzania is currently advertising open vacancies and encourages qualified candidates to apply. Procurement Analyst; UNDP Jobs - 62956- Procurement Analyst Finance...
  4. The Monk

    Was Mandela Right to Sell Out Black South Africans?

    Nelson Mandela sold out black South Africans. Now there's a sentence you won't have heard in the days since his death and that you won't be hearing at his memorial tomorrow. Yet it's incontrovertibly true that after centuries of being robbed of possibly the greatest mineral wealth the world has...
  5. The Monk

    Must Read - begin your day with a bit of laughter

    Teacher : Ok class; let us show the principal and our guests how much we have learnt so far dis year! Let’s do comparisons .... So if I say small, you say small, smaller, smallest. [Students nod] Teacher : Big Students : “Big, Bigger, Biggest.” .... Teacher : “clean.” Students : “clean, cleaner...
  6. The Monk

    Je, unajiheshimu?

    Habari ndugu zangu wa JF Ni vitu vingi hutokea katika maisha ya mtu na kumpa uzoefu ambao humuwezesha kuwa tajiri. Vitu hivyo inabidi avifanye kama ANAJIHESHIMU:- 1- Ni lazima alipe madeni yake kwa muda anaotakiwa kadri ya uwezo wake, na si kununua vile ambavyo hatamudu kuvilipia. 2-...
  7. The Monk

    KUUNDA TUME KILA LINAPOTOKEA TATIZO KUNALETA TIJA?i

    Pamekua na utamaduni wa kukimbilia kuunda tume kila linapotokea jambo. Licha ya kuwa na utitiri wa tume kila kukicha, tumepata manufaa kiasi gani kutokana na uundwaji wa hizi tume? Kwa kumbukumbu zangu za haraka haraka, tume iliyoundwa kufuatilia tuhuma za TPA ilifanya kazi yake kwa wakati na...
  8. The Monk

    Venezuela to postpone Chavez inauguration

    President Chavez won't be able to attend his scheduled swearing-in this week due to health problems, government says. Venezuela will postpone the inauguration of President Hugo Chavez for a new term due to health problems, the government has confirmed. Nicolas Maduro, the vice president, broke...
  9. The Monk

    Hamza Bendelladj "the smilling hacker"

    Mshukiwa mmoja wa udakuzi wa komputa ambaye anasakwa na idara ya ujasusi nchini Marekani, FBI, kuhusiana na madai ya kuiba mamilioni ya madola kutoka benki za Marekani, ili kufadhili maisha ya anasa, amekamatwa mjini Bangkok Thailand. Hamza Bendelladj baada ya kukamatwa na polisi mjini...
  10. The Monk

    Top Ugandan Government Ministers Nabbed In a Public Sleeping Competition on Budget Day

    The last time this happened at a retreat, many of the culprits denied the allegations, saying, they were simply closing their eyes in a gesture of deep thought. This time however, the claims were supported by snap-shots and it has become very difficult for them to deny that they took part in...
  11. The Monk

    Cracking Your PIN Code: Easy as 1-2-3-4

    Yahoo! editors have selected this article as a favorite of 2012. It first appeared on Yahoo! Finance in September and was one of the most popular stories of the month. Readers joked about people who use the most common PIN codes, and shared how they came up with their own. "My pin number is my...
  12. The Monk

    New African Union HQ Puts All Africans To Great Shame

    ​"…I have for long told my friends that Africans aren't mediocre people but it's a tough argument to maintain. How can you convince someone you aren't mediocre when you can't build your own home, when you can't grow enough food to feed your own people, when you can't treat your own...
Back
Top Bottom