Naenjoy kwa yule nilyenaye yeye hana mbwembwe na sex mimi ndio nimemteach hana papara wala mbinu za kikahaba nilikutana na mdada mmoja yani ana hangaika kama yeye ndio mimi.
Alikuwa anahisi ndio kanipata kumbe mimi wala simuelewi, wanawake magogo nawapenda nawaandaa nawageuza nipendavyo na...
Hili ni jambo la kheri pale mwanaume anapoenda nyumbani kwa mwanamke ambaye anamini anafaa kuwa mke wake na kutoa posa.
Siingilii uamuzi wa MANAIK SANGA kutaka kufanya hvyo lakin je mwanajf jchukuliwe wewe ni mzazi au ndugu wa JACK WOLPER.
MANAIK SANGA ANAKASHFA KUBWA YA KUPGA PCHA CHAFU...
Katika moja ya watangazaji ambao wanajtahidi kuifanya kazi hii iwe na heshima ni Millard Ayo. Sitaki kumzungumzia kwa upande wa utangazaji, nataka nimzungumzie katka upande wa ujasiriamali wake binafsi wa website. Amefikia wakati akawa anachuana na bongo5 lakini hutofautiani millardo alisimama...
Kuna mdogo angu mmoja jana alinifuata baada ya kutoka kanisani. Alikuwa na huzuni kubwa na majuto makubwa kwa kumtazama tu. Akaniambia kaka kuwa uyaone kwangu nishayao na naumia sana.
Akafunguka kuwa yeye alimpa msichana wake wa mda mrefu mimba. Lakini wakafanya siri kubwa huku wakijua kuweka...
Nilsikia wimbo ukilalama kwa maneno mazito TAIFA BILA MAONO HUANGAMIA. Nilgeuza fkra zangu katka sehemu nlyopo Tanzania.
Kiukwel nlipata mafadhaiko nktazama nchi yetu ambayo sasa waleta maono (viongoz wa dini) wamekuwa na urafk mbaya watmizao agzo la shetan(wanasiasa wanyonyaj).
Mpaka imefkia...
Nimefika jana kwa mara ya kwanza katika mji wa mtwara nikitokea MWANZA.Hapa mambo n supa tofauti na nkivyojua katka uchunguzi wangu nimesikia kuna radio na tv ya RUGE MUTAHABA inataka kufunguliwa inaitwa the sourthen.RUGE anataka iwe best kama star tv ianze kanda moja the tz nzma.but...
Tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita ilinipasa kufanya mamuzi magumu ya kumwacha mpenzi wangu wa muda mrefu. Siku hii ikifika inanipasa kukumbuka si kila kitu ni cha kusamehe muda mwingine Mungu anakuandalia mlango wa kutokea pale unapobahatka kugundua au ni bahati tu kwako.
Mpenzi wangu...
Kauli ya kijana wa kimarekani alyejpatia umaarufu dunian kuptia muzk CRIS BROWN kuptia mtandao wa kijamii kuwa hajui ugonjwa vizuri lakini anachojua ni kuwa ugonjwa uliotengenezwa kupunguza idad ya watu (TENA AKIONESHA WATU WENYEWE NI WEUSI KAMA YEYE) .
TMZ na mitandao hata isyo ya kiburudan...
Kama miaka mitatu katika jiji la Mwanza walikozaliwa na kukulia ndipo mahusiano yao yalianza. Wakawa wanapendana kwa dhati, mwanaume akijua kapendwa na mwanamke chaguo la moyo wake.
Siku zikasonga wakashibana katika kuongea mambo yao ya mapenzi siku wakaamua kuanza kutaja neno ukweli kisha kitu...
Miezi kadhaa rafiki yangu alipata mpenzi wakaanza kuishi pamoja. Mapenzi moto na waliaminia walipendana baadae mwanamke angeenda likizo kwao baada ya semister kwisha.
Tatizo sasa rafiki yangu baada ya siku kadhaa ameanza kuota vipele ndani kwa ndani mapajani na kifuani, kwa haraka aliogopa...
Mimi ni kijana umri wangu unacheza kat ya 21 had 25.Nipo chuo huu ndio mwaka wangu wa mwisho ingawa bado miez 11.Tatizo langu watu wakionipga jek(kunisaidia)kipesa kumudu chuoni sasa wameishiwa maisha yamewapiga kiukweli wala sihis wamegoma kunisaidia.Tatzo nachosomea n ngumu kupata kaz ukiwa...
Wadau nina rafiki yangu anaitwa G ni mwanachuo mwenzangu hapa mkoani Mwanza.Napata shida sana kumpa ushauri juu ya hili.Yeye anampenz wake ambaye kila siku lazma afke anapoishi akitoka chuoni anakusoma.Baadaye mwanamke akachanganykiwa na penz mpaka chuo haend ila anashnda kwa rafk yangu kila...
Nchi yetu ina makabila mengi sana na kwa uwingi huo unafanya nchi yetu kuvutia.Na inavutia zaidi hasa pale utakapowakuta watu kutoka maeneo mbalimbali wakizungumza kiswahili kwa lafudhi zao.
Lakini kabila la wamakonde wamekuwa wakidharauliwa kila wafikapo maeneo mengine.
Sijajua kwa lipi hasa...
Ili upate matokeo katka mchezo wa soka lazima utumie mifumo mizuri itakayo endana na kikosi chako.
Duniani kuna mifumo mbalimbali ya soka ambayo inatumia na inabadilika kutokana na mchezo.
Double pivot(4-2-3-1)ni mfumo wa soka ambao unaweza kusaidia timu kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja...
juzijuzi tukiwa tumefuatana tukitokea home kwangu baada ya kupeana raha karibu masaa 3 njiani ndipo mkasa huu ulinikumba.
tulifka eneo moja tukakutana na wanaume wawili walipotouna wakaanza kujchekesha xkuwa attention nao kwa xababu ni kawaida couple yetu iktembea watu kufurahi wakituona coz im...
Kila kitu hufanywa kwa sababu lakini inaweza isjulikane kirahisi.Huu ndo wakati ambao watu tumefikia kuwaza hivi juu ya mchakato mzima wa rasimu ulvyofanyika na kwa mbwembwe kubwa za chama tawala kumshangilia waliyomtuma huku wakijinadi kutimiza matakwa ya watanzania.
Nakumbuka aliyekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.