Search results

  1. K

    Msaada: Regulations za civil procedures na criminal procedures

    Habarinin za jini Jamani mwaka jana zimetoka regulations za civil procedures na Criminal Procedures mwenye nazo tafadhali nirushie anthonyalnashir@gmail.com
  2. K

    Real estate and corporate consulting

    Habari za jioni Tunatoa huduma za ushauri kwa masuala yafuatayo Real Estate 1)Uhamisho wa miliki ya Nyumba,Kiwanja (Transfer)Kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine 2)Utayarishaji wa Hati kuanzia kupima kiwanja mpaka hati 3)Tathmini ya kiwanja au nyuma (Property Valuation) 4) Processing of Unit...
  3. K

    Mwongozo wa Uthamini wa Fidia

    Karibuni tushare issues mbalimbali zinazohusiana na fidia hasa wakati Serikali inahitaji eneo lako kwa ajili ya manufaa ya Umma Unaweza kupakua hicho kitabu YALIYOMO Sehemu ya Kwanza: Utangulizi na Dhana ya Fidia 1.0 Utangulizi 2.0 Dhana ya Fidia Sehemu ya Pili: Misingi na Kanuni...
  4. K

    Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri

    Habari za asubuhi Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri ya kukodi kwa mwezi,mafuta kwangu na service kwa ajili ya kusambazia bidhaa zangu budget yanu ni 200,000/- kwa mwezi Asanteni
  5. K

    Natafuta Tender ya kusuply mkaa

    Habarini za Jioni Natafuta tender kwenye indtitutions zozote ya kysuply mkaa wa kupikia kwenye mifuko kilo -11 bei 28000 kwa mfuko.kwa kupikia ttu unahitaji robo kilo bila kuongeza chochote
  6. K

    Tuna-supply Kitimoto

    Tunasuply frozen kiti moto kwa mwezi uwezo wetu wa kusuply kwa jumla tu kuanzi tan 25 hadi 250 kilo moja sh 6000/- Kwa watu serious tu unipm kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu hayatajibiwa Asante
  7. K

    Nahitaji Supplier (msambazaji) wa kuku wa kizungu

    Happy new year Nahitaji suplier wa kuku 2000 kwa wiki only serious people ni pm for further discussion
  8. K

    Selling the running company

    Many people finds very difficult to start business.Sometimes those who starts business fails to reach their goal due to either experince or whatever the case.For any one who wants to make profits this is the solution. I am selling my company in Zanzibar I am relocating out of the country. The...
  9. K

    Soko la hisa kwa ujumla

    MASWALI YAULIZWAYO MARA KWA MARA 1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji...
  10. K

    Kuchapa vitabu na magazine

    kWA HUDUMA ZA KUCHAPA VITABU NA MAGAZINE USISITE KUWASILIANA NASI BEI ZETU NI ZA CHINI PITIA UZI HUU HAPA https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/601051-je-una-ndoto-ya-kuanzisha-magazine.html
  11. K

    Uchumi wa Tanzania kwa mtazamo wangu

    Maoni yangu kwa Serikali ijao: 1)Maendeleo ya viwanda nchini: Tukirudi nyuma mwaka 1961 Tanzania ilikuwa nyuma sana kwenye suala zima la viwanda ukilinganishwa na nchi zingine za Afrika mashariki.Sekta ya viwanda ilikuwa ikichangia asilimia 3.5% kwenye pato la Taifa wakati ni asilimia 9%...
  12. K

    Sera ya elimu na mabadiliko ya uchumi wa Tanzania

    Kwanza kabisa napenda kumpongeza Rais wetu kwa hatua kubwa aliyofikia na kubwa zaidi ya yote ni hili la sera mpya ya elimu.Siku zote nimekuwa naamini hakuna mapinduzi makubwa duniani kama kujipundua mwenyewe kimawazo na kifikra.Je ni vipi mtu unaweza kijipindua? Ni kupitia elimu tu. Kwa muda...
  13. K

    Fursa kwenye uzalishaji wa Madirisha ya Plastic (PVC Window)

    Today we are all witnesses of real estate boom in Tanzania the demand for housing is on top priority , I believe our eyes has not yet witness the future of real estate and construction industry in general when we compare to the coming few years Today no new construction is without PVC...
  14. K

    The business of manufacturing of PVC Windows

    Today we are all witnesses of real estate boom in Tanzania the demand for housing is on top priority , I believe our eyes has not yet witness the future of real estate and construction industry in general when we compare to the coming few years Today no new construction is without PVC...
  15. K

    No one

    No one person has the right to say, "I am the People." No Tanzanian has the right to say, "I know what is good for Tanzania and others must do it." All Tanzanians have to make the decisions for Tanzania." Julius Kambarage Nyererel
  16. K

    Fursa ya biashara kwenye mafuta ya alizeti

    Tunatafuta wasambazaji ambao wana deal na mafita ya kupikia ambayo yako packed kwenye chupa za lita 1,2 na 5 tunaweza kutengeneza kwa brand ya mteja.Uwezo wetu wa unaanzia chupa 26 985 kwa lita moja ndani ya container la futi 40,chupa 12 520 za lita 2 na chupa 5 160 za lita 5.Mafuta yetu yapo...
  17. K

    Fursa ya biashara kwenye sekta ya kilimo

    Fursa ya biashara: Kutokana na sababu zinazoonekana wazi kuwa suala la kilimo Tanzania lina ibuka kwa kasi kama vile sera za kilimo kwanza ukiachilia mbali miradi isiyohesabika ya mamilioni ya hekari yaliyochukuliwa na wageni.Tunakuletea fursa ambayo wewe unaweza kutengeneza pesa kupitia kilimo...
  18. K

    Fursa ya biashara

    GOODDAY We are looking for importers/distributors/agents for retail and industrial confectionary products. Current exporting to more than 15 countries. We would like to expand our network. Advantage of working with us is that: You will be the sole importer of our product and hence easily...
  19. K

    Business opportunity

    Janvini oyee Sasa nimekuwa nikisoma oo kila mara watu wanasema tuna hela na hatujui tuzifanyie nini na sisi kama raia wema tunao itakia nchi yetu mema siku zote tutakuwa karibu yenu Mtu anayejihisi anaweza kufanya biashara ya condensed milk basi naweza kumwonganisha na kampuni ya kirusi ambayo...
  20. K

    Unataka kuagiza nguo kutoka nje

    Habari zetu: Kampuni yetu ya Pero kwa sasa imefungua kiwanda cha nguo kwa jumla kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Watanzania.Idadi yetu ya kuagiza ni kuanzia nguo 100 kila picha hapa chini ipo katika sare ya nguo 100.Pia kwa wale wanaotaka kuteneneza sare basi tunaweza kufanya nao kazi.Tuandikie...
Back
Top Bottom