Real estate and corporate consulting

Real estate and corporate consulting

kassamali

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2010
Posts
214
Reaction score
40
Habari za jioni

Tunatoa huduma za ushauri kwa masuala yafuatayo

Real Estate
1)Uhamisho wa miliki ya Nyumba,Kiwanja (Transfer)Kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine
2)Utayarishaji wa Hati kuanzia kupima kiwanja mpaka hati
3)Tathmini ya kiwanja au nyuma (Property Valuation)
4) Processing of Unit Title property from A-Z
5)Drafting of Contracts,Power of Attorney,Deed Poll,Mortgage documents
6)Subdivision of plots (Kukata plots )
7)Vibali vya Ujenzi
8)Pia tunatoa ushauri wa bure kabisa kwa mtu anayetaka kununua property na kwa anayetaka kuuza hasa kujua kodi gani anastahili kulipa na muda wa kukamilika wa kazi husika
9)Title deed Investigation
10)Title Deed duplication
10)Ushauri kwenye masuala ya Joint venture kwenye properties

Corporate
1)Company incorporation in Tanzania and offshore companies
2)Bank account opening in Tanzania and Outside Tanzania
3)Kupata aina zote zote za Vibali kutoka kwenye Wizara na Tasisi zote na Pia Regulatory Compliance (Kufile anual returns zote)

Kwa mawasiliano zaidi

Thien Consulting
065 9525688
 
Back
Top Bottom