Natafuta Tender ya kusuply mkaa

kassamali

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
214
40
Habarini za Jioni
Natafuta tender kwenye indtitutions zozote ya kysuply mkaa wa kupikia kwenye mifuko kilo -11 bei 28000 kwa mfuko.kwa kupikia ttu unahitaji robo kilo bila kuongeza chochote
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    213.8 KB · Views: 97
  • image.jpg
    image.jpg
    175.4 KB · Views: 90
  • image.jpg
    image.jpg
    86.1 KB · Views: 102
Samahani JKT ya Kawe iko sehemu gani, huo mkaa hautoboi sufuria kweli?

Inategemea na ulipo mfano ukiwa kwa nyerere pale mikocheni B panda basi linalokwenda kawe ukivuka daraja kituo kinachofuata JKT au muulize mtu yoyote palipo na royal bakery kawe

Huu mkaa umetengenezwa special kwa kupikia so kila kitu kimeangalia hauna uwezo wa kutoboa sufuria
 
Habarini za Jioni
Natafuta tender kwenye indtitutions zozote ya kysuply mkaa wa kupikia kwenye mifuko kilo -11 bei 28000 kwa mfuko.kwa kupikia ttu unahitaji robo kilo bila kuongeza chochote
Hapo mmeandika Okoa misitu....swali, mmetumia raw materials gani kutengeneza huo mkaa??
 
Habarini za Jioni
Natafuta tender kwenye indtitutions zozote ya kysuply mkaa wa kupikia kwenye mifuko kilo -11 bei 28000 kwa mfuko.kwa kupikia ttu unahitaji robo kilo bila kuongeza chochote
Mkuu naomba nije kukutembelea nimefundishwa jinsi ya kutengeneza kwa nadharia nataka vitendo nipate kujua na changamoto zake
 
Raw materia mkuu ni nni? Ni sawdust au charcoal dust? Ni carbonised au none carbonised? Una binding agent? Heat calorific value? Hongera sana mkuu nina project kama hiyo ila wa kwangu ni sawdust carbonised charcoal briquettes.
 
Mkaa umetengenezwa na nni? Binding agent nni? Heat calorific value? Burning time? Carbonised or non carbonised? Ni jibu ntakupa order
 
Watu wanatangaza biashara as if mnaishi room 1.
Mkuu niletee nipikie kesho asubuhi nipo Serengeti
 
Back
Top Bottom