Unataka kuagiza nguo kutoka nje

kassamali

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
214
40
Habari zetu:
Kampuni yetu ya Pero kwa sasa imefungua kiwanda cha nguo kwa jumla kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Watanzania.Idadi yetu ya kuagiza ni kuanzia nguo 100 kila picha hapa chini ipo katika sare ya nguo 100.Pia kwa wale wanaotaka kuteneneza sare basi tunaweza kufanya nao kazi.Tuandikie ili tujue ni jinsi gani tunaweza kufanya kazi.Pia tuna deal na kuprint tshirt tishirt tunazoprint yingi tumezitengeneza sisi wenyewe ..kiwango kikubwa kwa hivyo ondoeni shaka

info@peroprinters.com
 

Attachments

  • 438-1_1.jpg
    438-1_1.jpg
    9.7 KB · Views: 478
  • 626-6_1.jpg
    626-6_1.jpg
    6.9 KB · Views: 483
  • 654-1_1.jpg
    654-1_1.jpg
    6.5 KB · Views: 460
  • 668-1_1.jpg
    668-1_1.jpg
    8.2 KB · Views: 458
  • 669-2_1.jpg
    669-2_1.jpg
    8.8 KB · Views: 456
  • 718-1_1.jpg
    718-1_1.jpg
    5.9 KB · Views: 430
  • 707-7_1.jpg
    707-7_1.jpg
    8.8 KB · Views: 430
  • 701-0_1.jpg
    701-0_1.jpg
    8.4 KB · Views: 439
  • 686-2_1.jpg
    686-2_1.jpg
    6.8 KB · Views: 463
  • 673-4_1.jpg
    673-4_1.jpg
    8 KB · Views: 469
  • 727-1_1.jpg
    727-1_1.jpg
    6.7 KB · Views: 446
  • 730-0_1.jpg
    730-0_1.jpg
    4.4 KB · Views: 432
  • 752-0_1.jpg
    752-0_1.jpg
    8.5 KB · Views: 457
  • 753-3_1.jpg
    753-3_1.jpg
    8.5 KB · Views: 423
  • 755-1_1.jpg
    755-1_1.jpg
    8.1 KB · Views: 422
  • 772-2_1.jpg
    772-2_1.jpg
    9.9 KB · Views: 522
  • 762-0_1.jpg
    762-0_1.jpg
    10.1 KB · Views: 586
  • 759-1_1.jpg
    759-1_1.jpg
    8.2 KB · Views: 441
  • 758-0_1.jpg
    758-0_1.jpg
    7.1 KB · Views: 442
  • 775-1_1.jpg
    775-1_1.jpg
    6.5 KB · Views: 484
  • 787-0_1.jpg
    787-0_1.jpg
    10.2 KB · Views: 464
  • 789-0_1.jpg
    789-0_1.jpg
    6.3 KB · Views: 485
  • 791-1_1.jpg
    791-1_1.jpg
    6.5 KB · Views: 435
  • 810-1_1.jpg
    810-1_1.jpg
    7.7 KB · Views: 443
Tuandikie au ni pm ili tujue wapi pa kuanzia au kama una design yako mwenyewe ungependa tukutengenezee basi tunakaribisha.Kwa kawaida order yako inachukua ndani ya siku nne tu
 

Attachments

  • aw11-12-003_s.jpg
    aw11-12-003_s.jpg
    6 KB · Views: 1,012
  • aw11-12-001_s.jpg
    aw11-12-001_s.jpg
    5.3 KB · Views: 1,014
  • 828-1_1.jpg
    828-1_1.jpg
    10.6 KB · Views: 330
  • 824-0_1.jpg
    824-0_1.jpg
    7.5 KB · Views: 335
  • 823-2_1.jpg
    823-2_1.jpg
    6.7 KB · Views: 337
  • aw11-12-006_s.jpg
    aw11-12-006_s.jpg
    4.8 KB · Views: 1,012
  • ss2011-008_s.jpg
    ss2011-008_s.jpg
    2 KB · Views: 1,000
  • ss2011-018_s.jpg
    ss2011-018_s.jpg
    3 KB · Views: 989
  • ss2011-022_s.jpg
    ss2011-022_s.jpg
    3.4 KB · Views: 986
  • ss2011-055_s.jpg
    ss2011-055_s.jpg
    3.4 KB · Views: 992
  • ss2011-031_s.jpg
    ss2011-031_s.jpg
    3.1 KB · Views: 1,001
  • ss2011-025_s.jpg
    ss2011-025_s.jpg
    3 KB · Views: 992
Suala la bei usiogope bei zetu ni nzuri
 

Attachments

  • vv_1000259162_280.jpg
    vv_1000259162_280.jpg
    12.7 KB · Views: 322
  • vvx_1000382003_280.jpg
    vvx_1000382003_280.jpg
    12.6 KB · Views: 319
  • vvx_1000382009_280.jpg
    vvx_1000382009_280.jpg
    10.5 KB · Views: 322
  • vvx_1000382012_280.jpg
    vvx_1000382012_280.jpg
    10.1 KB · Views: 301
  • vvx_1000382013_280.jpg
    vvx_1000382013_280.jpg
    15.4 KB · Views: 300
  • vvx_1000382014_280.jpg
    vvx_1000382014_280.jpg
    8 KB · Views: 304
Ndugu yangu za kiume kwa sasa tuna suti ,BOXER pamoja na Tshirt tumejikita zaidi kwenye nguo za kike na watoto ila kama una hitaji za kiume basi ndani ya siku nne tunazitengeneza.Kiwanda chetu kina watu 280.Ndugu kiwanda chetu kipo Kiev -Ukraine kama utahitaji kutembelea kiwanda basi unaweza kumcheki meneja wetu kwa number hizi hapa +38066 400 46 48 email info@peroprinters.com

Hauna za kiume?tunaagiza kutokea wap?
 

Attachments

  • ???????????.jpg
    ???????????.jpg
    7.6 KB · Views: 958
  • ??????????? (1).jpg
    ??????????? (1).jpg
    5.2 KB · Views: 1,214
Habari zetu:
Kampuni yetu ya Pero kwa sasa imefungua kiwanda cha nguo kwa jumla kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Watanzania.Idadi yetu ya kuagiza ni kuanzia nguo 100 kila picha hapa chini ipo katika sare ya nguo 100.Pia kwa wale wanaotaka kuteneneza sare basi tunaweza kufanya nao kazi.Tuandikie ili tujue ni jinsi gani tunaweza kufanya kazi.Pia tuna deal na kuprint tshirt tishirt tunazoprint yingi tumezitengeneza sisi wenyewe ..kiwango kikubwa kwa hivyo ondoeni shaka

info@peroprinters.com

....

....njoo Arusha ufunguwe shop nakuhakikishia utauza ile mbaya quality ndo kigezo !!!!
 
Kassamali yan ukitaka mpaka u order pc 100 same design au sijaelewa!

Bhokemsama katika kila picha unayoiona ni model moja kwa hivyo minimum order ni 100 pcs ila kama unataka kutoa order mchanganyiko basi tunaweza kukufanyia ila minimum order ni 100 pcs.Nasema hivi kwa sababu sisi ni kiwanda na ndo maana tuna focus kwenye watu wanaonunua kwa jumla.Natumaini nimefafanua kama kutakuwa na maswali zaidi basi unaweza kuuliza kwa niaba ya wengine
 
Ok nimekuelewa picha za sample za nguo za watoto basi maana nina duka la nguo za watoto na vp kuhusu transport from ukraine hadi bongo?
 
kiwanda chenu mmefunguliwa wapi?

Ndugu yangu kiwanda chetu kinapatikana KIEV-Ukraine hii ni kutokana na ukaribu wa malighafi zote na nguvu kazi kama utahitaji kututembelea na kuona nini tunafanya basi tunaweza kuarange.Pia tumepata license ya Nicolleta kampuni ya Uturuki ya nguo za ndani hivi karibuni tutaanza kutengeneza nguo za ndani za kike so any business future cooperation we tupia barua

Shukrani
 
hauna za wanene za kike

Ndugu yangu kama nilivyoeleza hapo awali kuwa sisi tunatengeneza kwa order hizo unazoziona tunaweza kufanya kwa wanene kwa wanene tunazo size 48-50, 52-54 angalia mfano wa hizi tulizo zitengeneza
 

Attachments

  • image (1).jpg
    image (1).jpg
    13.8 KB · Views: 200
  • image (2).jpg
    image (2).jpg
    11.7 KB · Views: 172
  • image (3).jpg
    image (3).jpg
    9.7 KB · Views: 170
  • image (4).jpg
    image (4).jpg
    8 KB · Views: 171
  • image (5).jpg
    image (5).jpg
    10.3 KB · Views: 157
  • image (10).jpg
    image (10).jpg
    8.2 KB · Views: 157
  • image (9).jpg
    image (9).jpg
    10.3 KB · Views: 152
  • image (8).jpg
    image (8).jpg
    11.6 KB · Views: 158
  • image (7).jpg
    image (7).jpg
    15.7 KB · Views: 157
  • image (6).jpg
    image (6).jpg
    11.4 KB · Views: 163
  • image (11).jpg
    image (11).jpg
    9.5 KB · Views: 167
  • image (12).jpg
    image (12).jpg
    10.3 KB · Views: 167
  • image (13).jpg
    image (13).jpg
    10 KB · Views: 160
  • image (14).jpg
    image (14).jpg
    5.7 KB · Views: 164
  • image (15).jpg
    image (15).jpg
    10.8 KB · Views: 149
  • image (21).jpg
    image (21).jpg
    6 KB · Views: 149
  • image (20).jpg
    image (20).jpg
    7.8 KB · Views: 413
  • image (19).jpg
    image (19).jpg
    8.8 KB · Views: 152
  • image (18).jpg
    image (18).jpg
    11.9 KB · Views: 156
  • image (16).jpg
    image (16).jpg
    5.1 KB · Views: 159
  • image (22).jpg
    image (22).jpg
    10.1 KB · Views: 150
  • image (23).jpg
    image (23).jpg
    9.1 KB · Views: 155
  • image (24).jpg
    image (24).jpg
    6.3 KB · Views: 160
  • image (25).jpg
    image (25).jpg
    6.8 KB · Views: 161
  • image (26).jpg
    image (26).jpg
    7.4 KB · Views: 152
Back
Top Bottom