Fursa ya biashara kwenye sekta ya kilimo

kassamali

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
214
40
Fursa ya biashara:
Kutokana na sababu zinazoonekana wazi kuwa suala la kilimo Tanzania lina ibuka kwa kasi kama vile sera za kilimo kwanza ukiachilia mbali miradi isiyohesabika ya mamilioni ya hekari yaliyochukuliwa na wageni.Tunakuletea fursa ambayo wewe unaweza kutengeneza pesa kupitia kilimo kama uti wa mgongo wa Taifa
Tunakupa nafasi kuwa sole importer na distributor wa mbolea ya asili kutoka Bulgaria.Mbolea ya asili kwa kifupi imeonyesha mafanikio makubwa kupita mbolea za kemikali kama vile Urea kwanza usalama wa afya na mazingira.

Biashara inakwendaje?

Kama unavyoelewa fursa bora za biashara zinahitaji uwekezaji either wa akili au pesa kutegemeana na wewe mwenyewe.Anzisha kampuni yako,pata vibali vyote,tunakupatia samples,pata license ya TBS na kadhalika…fuatilia tender kubwa na ndogo
Kama unapata tender hata kama pesa hakuna basi bank zipo ili mradi utakuwa na purchase agreement kutoka kwetu ya mwaka mzima na wakati huo una mkataba na wakulima basi bank itakusaidia

Aina ya mbolea na tabia zake hizi hapa chini

Gumat organic fertilizer (growth activator).
Gumat characteristics are as below:

Name
Index, %
Humate
75 – 85 %
Amino Acids
10 – 15 %
Microelements
More than 60
рН Level
8 – 12
Aggregate State
Liquid Concentrate

Advantages of using Gumat organic fertilizer (growth activator):


· High environmental compatibility (safe to use).
· Reduced cost for mineral fertilizers up to 50%.
· Increases efficiency of fungicides, insecticides, herbicides by up to 30%.
· Increases crop yield.
· Increases quality of crops thanks to gluten, carbohydrates, vitamins and protein that, in its turn, increases selling price of cultivated crops.
· Consumption rate is 200 ml per 1 hectare, that is 3-20 times less than other growth activators.
· Guaranteed and stable supply of Gumat.
. Affordable



Terms of delivery:

· Shipment volume - up to 100000 liters per month.
Can be delivered in a bottle of 1 litre,gallon of 20 litres and eurocube of 1000 litres

Kwa mawasiliano ya bei na kila kitu basi nicheki hapa
info@domvafrike.com.ua
 
Mkuu nikiweka bei haitaniathiri kitu naweka baba -mkuu litre moja ni Euro 22 FOB ni vigumu kusema CIF itakuwa shilingi ngapi kwa kuwa inategemea na order kwa mfano mtu akihitaji erocube la litre 1000 mara nyingi hili linaweza kusafirishwa lenyewe kama lenyewe bila container sasa jidubwashwa kama hili kwenye meli lina bei yake ila ofcourse ni ndogo kwenye niweke picha ulione.Ila kama unavyojua tena kwa Tanzania pembejeo nyingi za kilimo ushuru ni 0% ila we need to comfirm with this
 

Attachments

  • eurocube.jpg
    eurocube.jpg
    2.5 KB · Views: 344
Gumat sodium, potassium humate - organic fertilizer.

Gumat sodium, potassium humate - organic fertilizer widely used fertilizer which is made from peat, used to improve the nutrition of plants (growth regulator), improves soil fertility, is also used in animal husbandry, poultry farming, fish farming as a feed additive, and cleaning of polluted soils ( landscapes) and water from pollution, oil and gas industry as a reagent to make the drilling.



Thefertilizer is a high quality, fine and necessary for the cultivation of high yield:


- Vegetables (cabbage, tomatoes, cucumbers, potatoes, beets, peppers, etc.) and greenhouse;
- Cereal;
- Sunflower
- Corn;
- Buckwheat
- Herbs (parsley, celery, onion);
- Rape;
- All kinds of melons;
- Grapes. etc.


Gumat sodium, potassium humate increases the yield by 30-60%, gives excellent results on the cultivation of seedlings. drought-resistant, resistance of plants to disease. Accelerate the process of photosynthesis and protein renewal. Intensive development of the root system. Improves perception of mineral elements in nutrition, provides uniform ripening.
 
Back
Top Bottom