Fursa ya biashara kwenye mafuta ya alizeti

kassamali

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
214
40
Tunatafuta wasambazaji ambao wana deal na mafita ya kupikia ambayo yako packed kwenye chupa za lita 1,2 na 5 tunaweza kutengeneza kwa brand ya mteja.Uwezo wetu wa unaanzia chupa
26 985 kwa lita moja ndani ya container la futi 40,chupa 12 520 za lita 2 na chupa 5 160 za lita 5.Mafuta yetu yapo kwenye standadi za umoja wa Ulaya na vigezo vyote vya usalama.Bei zetu ni rahisi kufanya biashara manake ni chini kwa asilimia 40 kwa bei ya Tanzania kama upo serious unataka kuanzisha brand yako na ukaikuza basi tuwasiliane kwa pm



specification

Product Type: Nut & Seed Oil Type: Sunflower Oil Processing Type: Refined

Certification: HACCP,
Form A or EUR1 Packaging: Plastic Bottle Purity (%): 100
Brand Name: private
Grade: First Place of Origin: Ukraine
Packaging & Delivery
Packaging Detail: PET bottles: 0.92L; 1L; 2L; 5L

Physical and chemical indicators:

Coloured number mg to the iodine,no more 2
Acid number mg KOH,no more 0.14
Peroxide value ½ 0 meq/kg, no more < 0.5
Moisture and
volatile matters %, no more 0.035

Degree of transparency FEM, no more 2
Mass stake of 3,4
benzo(a)pyren &#956;g/kg wet weight < 1.0

Mass stake of dioxins
(WHO-PCDD/F-TEQ) pg/g fat < 0,25
 
Back
Top Bottom