Janvini oyee
Sasa nimekuwa nikisoma oo kila mara watu wanasema tuna hela na hatujui tuzifanyie nini na sisi kama raia wema tunao itakia nchi yetu mema siku zote tutakuwa karibu yenu
Mtu anayejihisi anaweza kufanya biashara ya condensed milk basi naweza kumwonganisha na kampuni ya kirusi ambayo inahitaji agent kwa kuwa hii brand yao bado Tanzania haipo ila condensed milk Tanzania pia zipo nyingi sasa hapa litakuwa jukumu lako kucompete
Hii Biashara inakwendaje?
Ni kiasi cha kukunua van ndogo,na kukodi warehouse ndogo popote upapendapo.Unanunua mzigo kutoka direct kiwandani kwa bei ya kiwanda kiwanda kinakusafirishia mpaka Dar port unatoa mzigo na kuanza kuusambaza
Kwa upande wa kiwanda kitakusaidiaje?
Kiwanda kitajitahidi kutengeza maziwa ya kopo kwa lebel unayoitaka hata kama utataka lebel iwe na jina lako basi ni shauri yako,kama utataka lebel iwe kwa kiswahili basi utatengenezewa
Pili Kiwanda kitakutengenezea all advertising materials kama vile bronchure nyingi kadri iwezekanavyo na pia kiwanda kitakutengenezea tangazo la TV ila gharama ya kuliweka kwenye TV itakuwa juu yako
Kwa wengine wasiyo fahamu nini condensed milk basi ngoja niweke istoria yake kwa ufupi
Kama utapendezwa na hii biashara basi hebu ni pm na kama kuna maswali wewe tupia tu bila woga
Kampuni ina standard zote za kimataifa na kwa sasa ina export maziwa nchi 28 duniani kwa Africa ni Mozambique,Congo,South Africa ,Tunis,Libya,Misri na Equatorial Guinea nchi zingine ni Venezuela,USA,CUBA ,china,Saud Arabia na nyingine ambazo si rahisi kuziwakilisha zote hapa-Kwa gharama yako mwenyewe basi unaweza ukaagiza sample
Ok kuna mtu mwingine anaweza kusema hii fursa siyo yangu kwa sababu sina pesa-Unajua lazima tujue kuwa fursa ni wewe binafsi kwanza mengine yatafuata-maana yake kama huna mtaji basi watafute watu wanaodili na hayo mambo ongea nao then kutokana na hilo unaweza kupata chochote either kutoka kwako au kutokana na mfumo wowote utakao ufikiria
Fursa nyingine nyingi zipo Rwanda,Burundi,Malawi,Zambia,Congo kwa vipi?Ukiangalia kwa makini utagundua hizi nchi zinaishi kupitia Tanzania na bandari yetu-utaona ni Tanzania tu duniani imeruhusu hizi nchi ziagize zenyewe bidhaa kutoka nje-kama leo watanzania wataanzisha mfumo mzuri na kuagiza biadhaa halafu hizi nchi zikazichukulia bidhaa Tanzania moja kwa wao ni faida kwa kuwa zinapunguza usumbufu na pia kwa wao watapata bidhaa kwa haraka zaidi basi mwisho wa siku kwa sector moja tu itatoa ajira kama milion tano-nasema hivi kwa kuwa nimeona nchi nyingi zilivyotajirika sana kupitia landlocked countries
Tatizo lilipo hawa watu wanapoagiza wenyewe wanalipa port charges tu-kama wangenunua kupitia watanzania basi kwa siku turnover ya sector ya export kutoka Tanzania ingefikia dolar bilion moja
Mimi naamini hata mti wa mbuyu ulianza kama mchicha bado hatujachelewa-condensed milk inaweza kuwa na soko pia kwenye hizo nchi..