Search results

  1. R

    Bandari ya Bagamoyo ndio Benchmark kati ya wanaomuunga mkono na wanaompinga Hayati Magufuli

    Wakati wa uhai wake Hayati Magufuli aliupinga mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na alisema nii kichaa pekee ndiye anaweza kukubali masharti ya mradi. Pia wakati wa uhai wake viongozi takribani wote wa CCM walijipambanua kama wafuasi wake kindakindaki na baadhi yao wakiwemo wabunge...
  2. R

    Uchaguzi 2020 Moja ya mambo mazuri aliyofanya Rais Magufuli kuhusu kodi

    Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, kodi ya majengo (property tax) iliyokuwa inatozwa kila mwaka na serikali za mitaa (LGA) kwa kila nyumba/jengo ilitegemea thamani ya nyumba. Kodi hiyo ilitozwa kwa asilimia 0.1. Hivyo watu wote wenye nyumba/majengo mijini katika maeneo...
  3. R

    Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA kuhusu Bima ya Afya ina ulaghai

    Katika uzi niliowasilisha awali nilizungumzia kuhusu athari ya ilani ya CHADEMA kwa ndoa na ajira; katika uzi wangu wa pili nilizungumzia kasoro za kiuchumi katika ilani za CHADEMA na ACT-Wazalendo. Katika uzi wangu huu wa tatu, nitazungumzia ulaghai kuhusu utekelezaji wa sera ya bima ya afya...
  4. R

    Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kuathiri ndoa

    Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini katika jukwaa hili nazungumzia kasoro moja ambayo ina athari katika ndoa. Ilani ya CHADEMA inakusudia kuweka sheria ya kutambua kitu wanachoita ubakaji ndani ya ndoa. Wanasema kuwa wakiingia madarakani...
  5. R

    Uchaguzi 2020 Kasoro za kiuchumi katika ilani za CHADEMA na ACT-Wazalendo

    Ilani za CHADEMA na ACT Wazalendo kwa upande wa uchumi hazifafanui namna pato la ndani ya nchi (GDP) litakavyokuwa linaongezeka mwaka hadi mwaka kutoka figures za sasa. Pia hazitaji watakuwa wanakusanya mapato (kodi na mapato yasiyo kodi) kiasi gani ili kuwezesha wananchi tuweze kupima hayo...
  6. R

    Uchaguzi 2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kuathiri ndoa na ajira

    Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini kwa leo nitazungumzia kaosro mbili ambazo zina athari kwa jamii ya watanzania nazo ni ndoa na pia kwa watakaokuwa wanamaliza masomo na kutafuta kazi. Pia nitazungumzia na ushoga jao haupo katika ilani lakini...
Back
Top Bottom