Search results

  1. M

    Obama kuanza kuporomosha ndege na mabomu Afrika ?

    KWA mujiibu wa habari nilizozisikia hivi karibuni ni kuwa viongozi wa kijeshi wa Marekani wamesema tayari wameruhusiwa kutumia ndege zao za kijeshi ili kuihuisha serikali iliyopandikizwa huko Somalia huku ikijifiia yenyewe maana haina mizizi kabisa nchini humo. Kwa Afrika hili litakuwa kosa...
  2. M

    Kero za kuondoa ili CCM ishinde kiulani

    CHAMA CHA JIHADI? ETI ni kweli kwamba CCJ ni chama cha Jihadi na kwamba waathirika wengi wa mauaji Mwembechai na Zanzibar wamejiunga na chama hicho? Mambo ....ambayo CCM lazima ijirekebishe: 1. Kuiba fedha za umma kwa ujanja wa kuamuru idara/wizara kununua kitu fulani ili chama hicho...
  3. M

    Anzisheni SACCOS za Kilimo kwa kila Jimbo

    HISIA za wananchi wengi ni kwamba 'wabunge' wanataka mfuko wa majimbo ili kulinda nafasi zao na wala sio kwa manufaa ya mkulima. Mimi ninaishauri serikali kufikiria uwezekano wa kuanzisha SACCOS za kilimo za jimbo zitakazoendeshwa kwa kanuni maridhawa na safi za menejimenti na utawala chini...
  4. M

    Kuna 'teja' kwa kila familia Zanzibar-BBC utafiti.

    KWA MUJIBU wa Idhaa ya Kiingereza ya BBC kuna mbwia unga mmoja karibu kwa kila familia kisiwani Zanzibar. Mara tu siasa ya Ujamaa ilipokufa na Tanzania kufungua milango yake wazi kwa kila aina ya biashara-haramu na halali kuingia nchini-utu, adabu, uungwana na maadili yote kwa ujumla...
  5. M

    Wanasiasa wana complicate issues?

    NINI hasa Watanzania jamani wanachokitaka na kukihitaji ili waendelee ? Sio vitu vigumu kiasi hicho. Hebu tazama mlolongo hapa chini ni vitu simpo tu lakini sisi viongozi hatufanyi kazi maana ni longalonga na wababaishaji na watoaji ahadi wakubwa bila kuzitekeleza. Na bajeti ikipangwa kuwa...
  6. M

    Walimu waliotandikwa bakora wadai bil.3! weee

    "Aidha, Serikali inaandaa mradi mkubwa wa kujenga nyumba za walimu nchi nzima kwa kuanzia na maeneo ya pembezoni yenye mazingira magumu ili kuondoa kero za makazi ya walimu." Kuna uhusiano wa moja kwa moja na wale walimu wa Katerero kuchapwa viboko na DC baada ya kuchelewa kuripoti kazini...
  7. M

    Rais Kikwete: ampa buriani Nyaulawa

    BILA kutegemewa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye majira ya kama saa tisa hivi aliingia katika Kanisa Katoliki Msasani kuja muaga aliyekuwa mbunge wa Mbeya vijijini, Marehemu Richard Nyaulawa. Kanisa hapo palifurika mawaziri, wabunge, wanasiasa wa vyama vyote, wahariri wa habari, wastaafu wa...
  8. M

    Baraza la wazee wenye hekima kitaifa lahitajika

    NDUGU ninaamini kwamba ingawa hatuwezi kuwa na baba wa Taifa mwingine lakini kuna viongozi wenye heshima zao ambao wanatumika na nchi za nje wanaostahili kuishauri serikali, vyama vya kisiasa na watu wengine ili nchi iendelee kama ilivyoanza. Watoto wadogo sasa hivi wameanza kujipa busara...
  9. M

    Sakra-mauti ya ubepari, kifo cha ukomunist na ugaidi wa kweli!

    UKOMUNISTI AU UJAMAA ulipokuwa ukikata roho televisheni za dunia nzima zilikuwa zikishangilia lakini hii leo UBEPARI umo katika sakra-mauti na wanafiki wote wanaupamba kwa urongo wa kila aina huku wakiomba lifanyike kila jambo ili 'artificial respiration' katika chumba cha wagonjwa mahututi...
  10. M

    BBC : Wasikilizaji Afrika wawaona viongozi kinyaa

    WAKATI kiongozi mmoja wa Afrika anawatetea viongozi wenzake wa Afrika kwamba eti sio wezi wala mafisadi wala wala rushwa Shirika la Habari la Utangazaji likiendesha kipindi wazi cha maingiliano na wasikilizaji wake kwa kutumia batua pepe na UJumbe mfupi umeonesha maoni tofauti kabisa...
  11. M

    Wanaulinzi na maendeleo ya nchi

    KAZI ZA Amiri Jeshi wa nchi ni kuhakikisha maslahi ya WOTE yanalindwa na hakuna wanaotumia nafasi au mali zao ili kuwanyonya, kuwanyanyasa au kuwadhulumu wengine. Pili ni lazima ahakikishe maslahi ya NCHI na sio ya kichama au ya kikundi fulani ndiyo yanayotangulizwa mbele. Tatu ni...
  12. M

    Kikwete and the begging bowl

    KWA WASIOJUA KIINGEREZA tafadhali ombeni mtu awatafsirie. Lugha ya 'If' and 'if' ni lugha ya kubahatisha, ni lugha tegemezi na sio lugha inayotoa uono wa mbali na mwelekeo wa nchi ya kijasiriamali. Bila kuwa nchi ya kijasiriamali itapita tena miaka 47 bado tunatembeza bakuli la ombaomba...
  13. M

    GENERATION NEXT AFRICANS [GNAs]

    Wasiojua ung'eng'e samahani maana makala ya leo ni kwa Kiingereza. Tafuta mtu akutafsirie ni tamu kweli na yenye uhamasishaji wa hali ya juu kabisa: ALL OVER the world now you can find a lot of Africans or blacks or people of African origin who don't think like their parents and...
  14. M

    Vita dhidi ya umasikini, ujinga na maradhi vimekwisha?

    BABA WA TAIFA alituambiaje mara baada ya kupata uhuru wa bendera? Mwalimu Mkuu alisema: 'Tuko katika vita. Vita dhidi ya ujinga, umasikini na maradhi.' Je ni wangapi wetu kweli wanajihesabu wako vitani. Kadri mtu anavyopanda ngazi kwenda juu anajihesabu tayari yeye hayuko kwenye vita hiyo...
  15. M

    Wamarekani na Tanzania: Nuksi au Neema?

    NINAVYOJUA mimi kuna nchi ambazo zinaisadia Tanzania mabilioni mara 2 au zaidi kuliko Marekani[/B]. Kisa cha jamaa hawa kupigiwa ngoma yenye sauti kubwa kupita kiasi katika awamu ya nne mimi bado kwangu ni kitendawili? Hivi kweli wakati mtu aliyechanganyikiwa kama Mugabe anaweza akashauri...
  16. M

    Ratiba ya michezo -jamhuri ya muungano tanzania

    [Shule zote za Msingi na Sekondari ziwe zimefungwa] -Wadhamini Benki zote, Tiggo, Vodacom na wauzaji petroli wote nchini. DESEMBA [2008] Mashindano ya kupata mabingwa wa TARAFA katika michezo yote itakayochaguliwa. Wadhamini NSSF, PPF, Vyombo vyote vya habari, Zain na Zantel. JANUARI...
Back
Top Bottom