Ratiba ya michezo -jamhuri ya muungano tanzania

mwalimu Jr.

Member
Aug 20, 2008
51
4
[Shule zote za Msingi na Sekondari ziwe zimefungwa]
-Wadhamini Benki zote, Tiggo, Vodacom na wauzaji petroli wote nchini.


DESEMBA [2008]
Mashindano ya kupata mabingwa wa TARAFA katika michezo yote itakayochaguliwa.
Wadhamini NSSF, PPF, Vyombo vyote vya habari, Zain na Zantel.

JANUARI [2009]
Mashindano ya kupata mabingwa wa WILAYA katika michezo yote.
Wadhamini Vyombo vyote vya uchukuzi reli na barabara, polisi wa usalama barabarani na sekta ndogo binafsi yote.

FEBRUARI [2009]
Mashindano ya kupata mabingwa wa MKOA katika michezo yote.
Wadhamini Mashirika yote ya Ndege, Machimbo ya Dhahabu na Almasi na Tanzanite na kadhalika.


MACHI [2009]
Mashindano ya kupata mabingwa wa TAIFA katika michezo yote.
Mdhamini -SERIKALI KUU: MFUKO WA MAENDELEO YA MICHEZO TANZANIA [MFUMAMITA]

APRILI-JUNI [2009]
MAPUMZIKO na mazoezi binafsi kwa wanamichezo wote Tanzania pamoja na kushiriki shughuli za uzalishaji mbali kwenye maeneo yao.
SERIKALI KUU: MFUKO WA MAENDELEO YA MICHEZO TANZANIA [MFUMAMITA]


JULAI-AGOSTI [2009]
Mazoezi ya Nguvu na Maandalizi na uboreshaji wa mabingwa kufikia viwango vya kimataifa pamoja na ushiriki katika michezo ya majaribio ndani na nje.
SERIKALI KUU: MFUKO WA MAENDELEO YA MICHEZO TANZANIA [MFUMAMITA]

AGOSTI-OKTOBA [2009]
USHIRIKI mashindano mbalimbali nchini, Afrika na ulimwenguni kote.
WADHAMINI: ORGANIZERS wa michezo hiyo kote waliko!

* SERIKALI KUU: MFUKO WA MAENDELEO YA MICHEZO TANZANIA [MFUMAMITA]- Mfuko huu utashibishwa na shilingi 10 toka makusanyo yote kwenye vituo vya ndege, mabasi na meli; Shilingi 10 toka kila lita ya peteroli na dizeli; shiligni 10 kutoka kwenye kila nauli ya daladala; pamoja na shilingi milioni 200 toka kila kampuni ya simu na migodi ya dhahabu, almasi na tanzanite nchini. [DONE]

NOTE: Ratiba hii itakuwa ikijirudia vivyo hivyo kila mwaka!
 
Back
Top Bottom