SI KWELI John Mnyika ajiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi unaoendelea ndani ya Chadema

1724327388999.jpeg

Tunachokijua
John John Mnyika ni Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo (CHADEMA) ambaye mbali na nafasi ya ukatibu Mkuu wa CHADEMA pia amewahi kuwa mbunge wa Ubungo, mwaka 2010-2025.

MNYIKA_1.jpg
Tarehe 22/08/2024 ilisambaa barua mtandaoni ambayo ilidaiwa kuwa ni ya CHADEMA ikiwa na ujumbe unaodai kuridhia ombi la John John Mnyika la kujiuzulu nafasi yake ya ukatibu Mkuu wa CHADEMA.

Barua hiyo inaeleza kuwa Mnyika ameamua kujiuzulu kutokana na wizi unaoendelea ndani ya chama cha CHADEMA na pia yeye Mnyika kunyimwa nafasi ya kusikilizwa mawazo yake ya kimaendeleo anayotoa ndani ya chama hicho, hivyo ameamua kujiudhuru na kwamba chama kimeridhia ombi lake. Unaweza kupata barua hiyo hapa na hapa.

Ukweli wake upoje?
Jamiicheck
imefuatilia Barua hiyo na kubaini kuwa ni barua iliyohaririwa na hajaandikwa na CHADEMA, katika kuzingatia hilo, barua hiyo haijawekwa kwenye vyanzo vyovyote vya habari vya cha hicho ikiwemo akaunti rasmi za CHADEMA wala hakuna taarifa yoyote kuhusu Mnyika Mnyika kujiuzulu.

Hata ivyo kupitia Akaunti rasmi ya Mtandao wa X, Mnyika hajazungumzia suala lolote kuhusu madai ya barua hiyo wala kuzungumzia suala la yeye kujiuzulu mpaka muda huu 14:00 wa tarehe 22/08/2024 ambapo bado utambulisho alioweka kwenye akaunti hiyo unasomeka kama Katibu Mkuu wa CHADEMA.

1724325780646-png.3076365
Pia, Jamiicheck Imezungumza na John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, ambaye pia kwenye barua hiyo anaonekana kuwa ndiye aliyesaini, ambaye alikanusha jambo hili kwa kusema:-

"Ni taarifa za uongo na Upotoshaji, Katibu Mkuu Mnyika yupo ofisini na muda mchache alikuwa na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe Mikocheni" mesema John Mrema.
CCM yetu imeamua tukose wote!

Tukose wote Imani Kwa wananchi,tukose wote credibility,tuchafuke wote tuwe sawa!

Kusiwe na option nyingine ya wenye Dola kukabidhi Dola kati yetu,labda chama kipya kiunde mseto au mtu mpya apatikane mwenye maono mapya!!

Calculated movement!
 
Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi unaoendelea ndani ya Chadema

Naona ukomavu kwa CDM maana hata sababu za kung'atuka zimewekwa bayana ingawaje zinatia doa chama...
 
Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi unaoendelea ndani ya Chadema
Bila kuwa mchaga chadema hutoboi
 
KUNA PESA ZILICHANGWA ZINAITWA JOIN.......HIZI PESA ZILIWEKWA ACC FLAN GAFLA WAKKAKUTA ZIMEONDOLEWA

LLISSUALIFINYWA JUZI NA STAR TV AELEZE PESA ZIKO WAPI AKASEMA

MWENYE KUJUA KIASI GAN N KATIBU NA MWEKA HAZINA YEYE HANA MAMLAKA

PICHA INAENDELEA...
 
CCM yetu imeamua tukose wote!

Tukose wote Imani Kwa wananchi,tukose wote credibility,tuchafuke wote tuwe sawa!

Kusiwe na option nyingine ya wenye Dola kukabidhi Dola kati yetu,labda chama kipya kiunde mseto au mtu mpya apatikane mwenye maono mapya!!

Calculated movement!
Kwani hapo ni CCM au ni chadema nao wameamua kuwa wezi?
 
Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi unaoendelea ndani ya Chadema
Kwani chadema bado wapo ufipa?
 
Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi unaoendelea ndani ya Chadema
Fake kama kawaida, tamko lolote la chama litatoka kwa chama si kwa random people kama wewe
Halaf jifunze ku edit brother, from miles away imeonekana ni fake
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom