KERO Threads

Licha ya Sheria ya Vileo Sura ya 77 ya Mapitio ya Sheria za Tanzania ya Mwaka 2002 kuelekeza taratibu mbalimbali za kufanyabiashara ya vileo, lakini kwa siku za hivi karibuni kuna viashiria na...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakazi wa Tabata Kimanga mtaa wa Mandela Juu hii ni wiki ya tatu mabomba yanaota kutu. Tatizo ni nini?? Ukame au maji yametibuka??
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Taarifa iwafikie uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye Mashine zenu za parking haiwezekani msiweke bei ya parking wazi. Hata kwa kuzibandika kwenye bango ili wateja tujue tunachajiwa kiasi...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Anonymous
KERO 
Nimebadilisha jina la gari langu kwenda kwa jina la mtu aliyenunua usafiri huo kutoka kwangu tangu tarehe 23/01/2023 lakini mpaka leo (Februari 2024) mabadiliko hayo ya jina yanasomeka kwenye kadi...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Anonymous
KERO 
Kuna Chuo kinaitwa Blue Pharmacy College of Health kipo Singida Mjini mbele ya Serengeti Pub kina hosteli za Wadada zipo opposite na Cheyo Lodge. Concern yangu ni hizo hosteli zipo kwenye danguro...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Anonymous
KERO 
Kuna mambo ya hovyo yanafanyika kwa wakusanyaji wa ‘gate collection’ upande wa pikipiki katika Daraja la Kigamboni (Dar es Salaam), wanachokifanya hawatoi risiti halafu fedha za malipo zinazotozwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki. Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa. Vinginevyo Mheshimiwa...
5 Reactions
14 Replies
971 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha dodoma (UDOM) ndaki ya kompyuta na elimu angavu (CIVE). Hapa ndaki kwetu (College) kuna tatizo la maji sasa kufikia wiki ya pili maji hayajatoka tatizo...
1 Reactions
2 Replies
548 Views
Habari za mchana. Je, serikali imejipanga vipi na ina mpango upi wa muda mrefu kwa wakazi wa Kigamboni ambao wakuwa wakipata hadha ya kuhangaika na usafiri wa kivuko Ferry takribani mwezi mmoja...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Jamani eeee tusaidieni kupaza sauti Idara ya Maji hapa Mwanza imekuwa kero maana haijulikani ni mgawo wa maji au la! Zaidi ya siku 4 hadi 5 hakuna maji Mtaa wa Bugarika na hakuna taarifa yoyote...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii...
4 Reactions
13 Replies
890 Views
Anonymous
KERO 
Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya...
2 Reactions
3 Replies
590 Views
Salaam Wadau, Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha...
3 Reactions
6 Replies
634 Views
Habari wakuu, Ni wiki sasa, nimekuwa najaribu kuwasiliana na mamlaka ya vitambulisho vya Taifa ofisi za Ukonga, Dar. Zipo namba mbili zimewekwa mtandaoni kwa ajili ya wananchi kuwasiliana na...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Hii ni stendi iliyopo katika Wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro, mahala panapojulikana kwa jina la Boma Ng'ombe, Stendi hii inamashimo shimo ambayo sio rafiki kwa watumiaji wa stendi hii. Pia...
1 Reactions
0 Replies
680 Views
Habari wakuu, Hii barabara ni mbovu sana naomba wahusika wafanyie kazi hata kama ni masika ubovu umezidi na imekuwa kero sana barabara ina mashimo kama mahandaki wabunge wapo wakurugenzi wapo...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Anonymous
KERO 
Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Barabara hii inayoanzia Mbezi Jogoo karibu na kituo cha daladala na kwenda kuungana na ya Mbezi Makonde ina umuhimu sana kwa sasa kwa sababu inapita maeneo yenye huduma za kijamii kama Zahanati ya...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Anonymous
KERO 
Hali ya barabara ya kuelekea Baraza la Mitihani kupitia Makonde, Mbezi Juu, Dar es Salaam inasikitisha sana na nashindwa kuelewa Serikali inawaza nini kiasi cha kushindwa kabisa kuirekebisha hii...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati. Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
1 Reactions
10 Replies
895 Views
Back
Top Bottom