Ni wiki ya Pili sasa hadi Leo Tarehe 13/02/2021 vifusi vilivyowekwa katika barabara ya Bonyokwa ya Segerea kuelekea Bonyokwa kwa Kichwa havijasawazishwa.
Hii imekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa...
Mambo ya uchumi wa kati!
Kwa hapa Bongo, kwa uzoefu wangu mdogo. Maeneo mengi ya umma hutoza 200 kwa huduma hiyo pendwa, na 500 kwa kuoga.
Hii imekuwa tofauti katika stendi ya daladala Mbezi...
Ushauri wa bure kwa serikali ya awamu hii. Tumbueni hawa Tanroads Biharamulo. Sanjali na hili yaweza kuwa busara kuifunga kabisa barabara ya Rusahunga Benaco na ku i declare impassable kupisha...
Tumelizungumza sana hilo jambo la angalau barabara ile irekebishwe kwa kufukiwa mashimo makubwa lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa na barabara imekuwa mbovu kupindukia!
Ikumbukwe barabara...
Habari zenu.
Kwa kweli nimeshangazwa sana ktk mabasi yaendayo haraka.
Inakuwaje nakupa pesa yangu ya kutaka kupata tiketi, mfano nakupa 1000Tshs, unatakiwa unirudishie 350Tshs sababu nauli ni...
Binafsi nimekerwa sana na utoaji huduma wa hizi ofisi za usajili wa vizazi na vifo. Kuna kila dalili ya harufu ya rushwa ili uweze kupata huduma. Kipindi ofisi hizi zinaanzishwa walikuwa watoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.